wangewange
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 189
- 43
Asante Mkuu nitafanya hivo.nilijua jf nitapata great thinker mmoja atanpa details za sokoni.Anzia sokoni mkuuu
Kwanza hongera kwa kuwa na wazo hilo la kujikwamua kiuchumi. Lakini unatakaje kwenda kwenye soko ambalo haulijui? Anzia sokoni kaka
Vp mkuu ulipata details za soko la karoti kwa Dodoma?Asante Mkuu nitafanya hivo.nilijua jf nitapata great thinker mmoja atanpa details za sokoni.
0658438825 nichekiHabari wana jf
Ndugu zangu kijana wenu katikaa harakati za kujikomboa nmeamua kujishughulisha na uuzaji wa Karoti. Nataka nizitoe mbeya mpk dodoma. Lakin! Kwa mkazi wa dodoma Au kwenye kujua hili naomba anisaidie bei ya Karoti kwa dodoma. Ni sh ngap kwa kiroba cha kilo Mia ama kilo hamsini. Na garama za usafirishaji na ushuru.
Ahsante.