Karudi Baba Mmoja (Toleo Jipya)

hahahaha asante mkuu.
ika mjini hakuna shamba
 
hahahaha asante mkuu.
ika mjini hakuna shamba
mjini mashamba yapo mkuu,nunua shamba la mita za mraba 500 pale magomeni kisha jenga apartment uone kama hautapata mavuno!
 
Jamani nina ubishi mkali sna na jamaa zangu hadi tumeweka dau. Hili shairi la "Karudi Baba Mmoja" ni la darasa la IV au la V?
 
Ni darasa la IV linaimba hivi.
"Karudi baba mmoja,toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli,iwafae maishani"

Darasa la tano hakuna nyimbo ni mambo ya hadithi tupu. Darasa la tatu unakutana na wimbo wa "SADIKI na CHITEMO" na "SIZITAKI MBIVU HIZI" wa Sungura.
Umenikumbusha mbali mkuu.
 
Kidaganda umenikumbusha mbali sana!
 
Mzungu wa kwanza kuona na sio kuvumbua
 

Nani aliandika hili shairi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…