Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
Huyu ni msichana ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili
Pamoja na changamoto za hapa na pale za kimahusiano lakini tulijitahidi kuwa pamoja kwa kipindi chote hicho.
Kuna siku tulipishana kidogo kiswahili na mwenzangu lakini baada ya kukaa na kufikiria nikaona kabisa kwamba mimi ndie mwenye kosa sababu kuna kauli nilimtolea ambayo kwa binadamu yoyote lazima ingemuumiza.
Nilimuomba msamaha kwa ile kauli yangu lakini ni kama hakutaka kukubali msamaha wangu na badala yake alipiga kimya
As a man nikaona sio kesi nikajua tu may be mwenzangu ana option nyingine au kapata mbadala wangu.Nilifuta namba zake zote mana sikuwahi kuzikalili kichwani na kufuta picha zake zote kwenye simu yangu.
Niliondoka mazima kwenye maisha yake lakini cha ajabu baada yaa kama miezi minne juzi amenicheki na kunambia kwamba ameniota hivyo ameona anicheki.
Sasa najiuliza je amekosa mbadala au anataka tu kunijaribu kuona kama niko dhaifu kiasi gani.
Binafsi sina kinyongo nae tena ila hofu yangu ni je katika kipindi ambacho mimi na yeye hatukuwa tukiwasiliana ametembea na wanaume wangapi na naanzaje kumuamini tena
Hivi hawa viumbe wanawaza nini pindi wanapoonyesha kila dalili kwamba wanataka mahusiano yavunjike lakini baada ya muda flani unashangaa mtu anarudi ?
Mana me nilidhani kashafuta namba zangu za simu katika hiyo miezi minne ambayo hatukua tukiwasiliana kama nilivyofanya mimi kumbe kwake ni tofauti.
Kwanini hali hii huwa inatokea kwa wadada ?