Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,951


Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda, hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na hawana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
 
Huyu alifukuzwa upadri baada ya kula waumini.

Bashiru waa kipindi ya JK ni tofauti na wa kipindi cha meko.
Karugendo apige kimya
Takukuru wakipeleka report ya bOt ajue kabis Bashiru anaenda lock up
 
Mwenye uhakika kuwa Bashiru kachukua pesa aende mahakamani, Rais kasema hazina ichunguzwe, tusubiri majibu... kama atakuwa ana tuhuma it is Okey awajibishwe, kama hajachukua basi hekima ya Rais itende vyema ....kumtuhumu mtu bila Ushahidi ni ujuha mwingine
 
Kigogo kasemaje kuhusu hilo la Karugendo?
 
Mimi nitaendelea tu siku zote kuwaombea njaa ya kugawana hiki chama chenu, then tuanze upya kama Taifa. Na kama mtanusurika na vita ya wenyewe kwa wenyewe ya kugombania madaraka ndani ya chama chenu kabla ya 2025, basi itachukia miaka mingi mbele hiki chama chenu kuja kufa rasmi.
 
Huyu alifukuzwa upadri baada ya kula waumini.

Bashiru waa kipindi ya Jk ni tofauti na wa kipindi cha meko.
Karugendo apige kimya
Takukuru wakipeleka report ya bOt ajue kabis bashiru anaenda lock up

Mh Samia asicheke na nyani usoni, ikithibitika kina Bashiru na mpwa wamepiga pesa waende jela....wanakwapua fedha na ndio maana serikali inaenda kuchukua fedha za NSSF kufidia hazina ambayo haina kitu lakini serikali ikiwa na fedha NSSF watakuwa wanatoa mafao kwa wakati.
 
Mama amedai matumizi ya serikali, January to March, 2021. Kama mko safi, kwa nini mnakanyagana... Lissu alinyimwa fedha matibabu kwa sababu hakufuata utaratibu... Mama naye anadai utaratibu....hatutaki kuona malipo ya "masangoma"
 
Chama kipo salama shida ni miluzi imekuwa mingi mpaka anaepaswa kuunganisha watu anachagua upande.
 
Bashiru ajachukua pesa yoyote, pesa ya serikali tena billions of money haitoki kama imewekwa kwenye sanduku.

Watu wanamuogopa Bashiru 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…