NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 28
Mbali na Rais Karume kushindwa kuhudhuria sherehe hizo zilizotawaliwa na mvua kubwa jijini Dar es Salaam, marais wastaafu, Mzee Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Dk. Salmin Amour wa Zanzibar, pia hawakuhudhuria sherehe hizo na hakuna sababu zilizotolewa juu ya kutokuwapo kwao uwanjani hapo. Mbali na marais wastaafu hao kushindwa kuhudhuria, mawaziri wakuu wastaafu wa Jamhuri ya Muungano, Mzee Rashid Kawawa, John Malecela, Joseph Warioba, Fredrick Sumaye na Edward Lowassa, nao hawakuwapo.
Hata Edo hakuhudhuria Salva yupo likizo bado?
Mkuu Mwiba hebu nijuvye, eti Karume aliwahi kufika hata hapo uwanja wa ndege?Ni kweli hali ya hewa haikuwa nzuri ,na hili lilitokea kutokana na Forker27 kutoweza kuhimili dhoruba za angani pia ieleweke hii ni mara ya kwanza kwa ndege kushindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Zanzibar ,inamaana hata mother nature haiutaki Muungano hivyo ametumia nguvu zake kumsotesha raisi mzima na kumkosesha sherehe za Kuimeza Zanzibar.
Jee wameanza kumsusia JK shughuli za kijamii kwa vile kuna mtu anaandaliwa 2010 kuchukua nafasi yake ndani ya CCM na wao wamebariki?
Just thinking aloud.
Ni kweli hali ya hewa haikuwa nzuri ,na hili lilitokea kutokana na Forker27 kutoweza kuhimili dhoruba za angani pia ieleweke hii ni mara ya kwanza kwa ndege kushindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Zanzibar ,inamaana hata mother nature haiutaki Muungano hivyo ametumia nguvu zake kumsotesha raisi mzima na kumkosesha sherehe za Kuimeza Zanzibar.
wanasema toka alikuwa akivuta sigara moja moja mpaka akaagizia ulevi wa tende na kuanza kuzibua vibati katika uwanja wa ndege.Mkuu Mwiba hebu nijuvye, eti Karume aliwahi kufika hata hapo uwanja wa ndege?
au mvua ilinyesha bado yupo kwake?
Ni jambo la kusikitisha lakini inabidi tujiulize maswali magumu,muungano utadumu huu? Na nini hatma ya wapemba walio wengi bara
hayo yote mazingaomwe ...muungano ilikuwa ni shughuli ya muhimu sana....kuna vyombo vingi vinavoweza kumtoa rais wa zanzibar..tena JWTZ wanavyo maalum kwa ajili ya kumnusuru pale hali ya hewa ikiwa mbaya ......
1]kuna ndege za serikali
2]helikopta ya polisi[chombo hiki kinahimili hali ya hewa-dakika 30 kwenda zanzibar na kurudi]
3]helikopta za JWTZ
4]NDEGE ZA JWTZ-zinauwezo wa kuhimili hali ya hewa ]
5]boti kasi za jwtz..Zina uwezo wa kwenda kasi[dakika 25 kuja dar]
6]submarine
Sidhani kama kweli amiri jeshi mkuu anawasiliana vema na mwenzake alikubali hichi kituko kimkute....angewaambia tu kama hali ya hewa mbaya ..watumie mbinu yeyote kati ya hizo kuhakikisha AMANI anawahi sherehe...kiukweli hakuna sababu ya msingi ya amani kukosa kuja...atakuwa amekataa tu!!!....rais wa jamuhuri akitaka kwenda popote hata akitaka apelekwe na ndege vita anaweza .....ie assume kuna immegency zanzibar...anatakiwa ndani ya dakika 10 dodoma [do it or die]...na kuna chombo chenye uwezo wa kumfikisha kwa muda huo ie jets ..atapanda....marais wengi tu huwa wanatumia jet fighter ie bush,putin etc..
Mbali na Rais Karume kushindwa kuhudhuria sherehe hizo zilizotawaliwa na mvua kubwa jijini Dar es Salaam, marais wastaafu, Mzee Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Dk. Salmin Amour wa Zanzibar, pia hawakuhudhuria sherehe hizo na hakuna sababu zilizotolewa juu ya kutokuwapo kwao uwanjani hapo. Mbali na marais wastaafu hao kushindwa kuhudhuria, mawaziri wakuu wastaafu wa Jamhuri ya Muungano, Mzee Rashid Kawawa, John Malecela, Joseph Warioba, Fredrick Sumaye na Edward Lowassa, nao hawakuwapo.
Hata Edo hakuhudhuria Salva yupo likizo bado?
Niliangalia majadiliano juu ya Muungano yaliyorushwa TBC. Inaonekana kama Duni asingekuwapo, mjadala usingekuwepo pia, maana wote kwa upofu wao walionekana kumshupalia yeye.
Yule mama mwanasheria alinza vizuri baadae akaonyesha woga na kushindwa kutetea hoja zake za awali akabaki kuchekacheka tu.
Hoja aliyoizungumza mwanzo kwamba- kuwe na bajeti tatu: Bajeti ya Zanzibar, Bajeti ya Seriakali ya Muungano kwa mambo ya Muungano, na bajeti ya serikali ya muungano kwa mambo yasiyokuwa ya muungano. Yaani serikali ya muungano iwe na bajeti mbili kwa kuwa inatekeleza mambo ya muungano na yasiyokuwa ya muungano (ya Tanganyika).
Hii ilikuwa approach nzuri, lakini baadae akawa mwoga tu.
Profesa Lwaitama alikuwa kama kituko fulani hivi, alibalia kucheka tu akidhani anazungumza hoja kumbe upuuzi mtupu.
alikataa kupanda ndege akataka aletewe kunguru.
ningekuwa na uwezo usingekuwa unachangia wewe..umeshawahi fanya majaribio ya IQ yako ukajua inafika ngapi?
Mkuu ukimaind vitu vya aina hiyo utapata tabu kwani sometimes tunahitaji kufurahi baada ya stress za maisha ndio maana mtu anaandika kama hivyo, what you need to do ni kucheka na kuendelea kusoma next thread kama hujisikii kuchangia.
umeamka nao?mafutaaaaa!!!!!
Mbona JK ameshasema kuwa hayapo!!!!mafutaaaaa!!!!!
kumbe tatizo halikuwa mvua ati! jamaa alikuwa na stim za matap tapu.wanasema toka alikuwa akivuta sigara moja moja mpaka akaagizia ulevi wa tende na kuanza kuzibua vibati katika uwanja wa ndege.