Kaseba kila siku unatinduliwa

Kaseba kila siku unatinduliwa

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Kwanza nianze kwa kukupa pole kaka yangu Kaseba maana daily unakutana na vichapo vikali, nadhani unamkumbuka brother Cheka na unakumbuka vipigo alivyo kusukumizia.

Mimi nadhani kwanza unyoe nywele, baada ya hapo tafuta njia nyingine ya kutengeneza pesa, achana na ngumi utakufa kaka. Huu mchezo sio mzuri hata kidogo.
 
Acha atinduliwe tu, misosi yenyewe hawali unategemea nini.
 
Njaa ukiiweka penye mfuko wa rambo ndio shida yake hiyo huwezi kujipima! katika mapambano kumi umepigwa tisa! oh kuna hobby nyingi hata kupenda kupigwa nayo ni hobby.
 
...kapigwa na Nani ? lini ? fungukeni kidogo...
 
Tatizo anafikiri ubondia ni kama Karate zake,yeye ni bingwa wa karate,sasa sijui anashindwaje boxing,hata huko kwenye karate zake atakuwa anawapiga wadhaifu wenzake
 
Kwenye kick boxing alikuwa anajitahidi, lakin huku alipohamia ataendelea kuchezea kichapo sana.
 
Lakini huwa anawatandika makofi vizuri sana vibaka wanaotaka kuiba pale maeneo ya IPS
 
Kwanza nianze kwa kukupa pole kaka yangu Kaseba maana daily unakutana na vichapo vikali, nadhani unamkumbuka brother Cheka na unakumbuka vipigo alivyo kusukumizia.

Mimi nadhani kwanza unyoe nywele, baada ya hapo tafuta njia nyingine ya kutengeneza pesa, achana na ngumi utakufa kaka. Huu mchezo sio mzuri hata kidogo.
kuna watu huwa mnahisi wengine tuna uwezo wa kuread mind eh? hebu weka story yako vizuri.
 
wajuzi wa mapigano au michezo hii ya mapigano wanasema boxing na kick boxer nimichezo ya watu wenye roho ngumu,tofauti na karate..sasa ukileta karate zako kwa boxer utaambulia kichapo tuu ndo kinacho mkuta Kaseba
 
Tatizo anafikiri ubondia ni kama Karate zake,yeye ni bingwa wa karate,sasa sijui anashindwaje boxing,hata huko kwenye karate zake atakuwa anawapiga wadhaifu wenzake

boxing mwanangu ya wagumu hiyo,huwezi fananisha na karate michezo ya ku dank kama mcheza basketball
 
Halafu jamaa anamkwala, ukimsikiliza anavyo jitamba kabla ya pambano unaweza ukaahirisha kwenda kwenye mpambano maana ni kana kwamba anaenda kuua mtu. Sasa juzi kalambwa ngumi moja tu aka rest on ground (ROG). Ila mara nyingi huwa anasema anapigwa kwasababu 2, moja kwasababu anacheza na watu wasiojua kanuni na sababu ya pili eti waamuzi huwa wanawabeba wapinzani wake. Hii ya juzi sijasikia ametoa sababu zipi.
 
Nilimsikia redioni alilalamika kuhusu sheria na kuonewa..haha
 
Nilimsikia redioni alilalamika kuhusu sheria na kuonewa..haha
Okay kumbe ameonewa tena, halafu kwanini anakubali kucheza na watu wasiojua sheria? Kama ameoa mke toka mara anaweza akapewa kick boxing daily.:biggrin:
 
Amakweli wakuu Jela sio kuzuri,yaani Fransis Cheka kakaa jela hata miezi miwili haijafika katolewa kanyooka vibaya,mwili nyumba wote kushnei babu jei,sasa hivi yupo nje kwa kifungo cha nje,namwonaga Morogoro akitumikia adhabu za kifungo cha nje kwa kufagia barabara n.k, atulie sasa aache ungese wake wa kuonea onea ovyo
 
Back
Top Bottom