Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
...kapigwa na Nani ? lini ? fungukeni kidogo...
kuna watu huwa mnahisi wengine tuna uwezo wa kuread mind eh? hebu weka story yako vizuri.Kwanza nianze kwa kukupa pole kaka yangu Kaseba maana daily unakutana na vichapo vikali, nadhani unamkumbuka brother Cheka na unakumbuka vipigo alivyo kusukumizia.
Mimi nadhani kwanza unyoe nywele, baada ya hapo tafuta njia nyingine ya kutengeneza pesa, achana na ngumi utakufa kaka. Huu mchezo sio mzuri hata kidogo.
Tatizo anafikiri ubondia ni kama Karate zake,yeye ni bingwa wa karate,sasa sijui anashindwaje boxing,hata huko kwenye karate zake atakuwa anawapiga wadhaifu wenzake
Nilimsikia redioni alilalamika kuhusu sheria na kuonewa..hahaHalafu jamaa anamkwala, ukimsikiliza anavyo jitamba kabla ya pambano unaweza ukaahirisha kwenda kwenye mpambano maana ni kana kwamba anaenda kuua mtu. Sasa juzi kalambwa ngumi moja tu aka rest on ground (ROG). Ila mara nyingi huwa anasema anapigwa kwasababu 2, moja kwasababu anacheza na watu wasiojua kanuni na sababu ya pili eti waamuzi huwa wanawabeba wapinzani wake. Hii ya juzi sijasikia ametoa sababu zipi.
Maugo, juzi
Nilimsikia redioni alilalamika kuhusu sheria na kuonewa..haha
Okay kumbe ameonewa tena, halafu kwanini anakubali kucheza na watu wasiojua sheria? Kama ameoa mke toka mara anaweza akapewa kick boxing daily.:biggrin:Nilimsikia redioni alilalamika kuhusu sheria na kuonewa..haha