ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hivi jamani, hebu tena tulichambue hili;
ina maana huyu Kaseja baada ya kutamba miaka kumi iliyopita na akafifia na mpaka kupotea, means sasa ame-recover na kuweza kuwa bora zaidi ya Manula ambaye ndiye kipa tegemezi wa Klabu Bingwa nchini na ndiye mpaka miezi michache nyuma amekua tegemeo la timu yetu Taifa Stars ikiwemo kushiriki katika michuano mikubwa ya AFCON na hata zile fainali za Klabu Bingwa Afrika.
Swali ni hilo, je ina maana Manula kaisha kwa kasi ya ajabu katika kipindi kifupi hivyo hadi mtu kama Kaseja kumfunika?
Je, ni matakwa ya kocha tu?
Mimi kwa kweli bado simuelewi elewi kocha wa Taifa Stars.