Kaseja vs Manula

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Hivi jamani, hebu tena tulichambue hili;
ina maana huyu Kaseja baada ya kutamba miaka kumi iliyopita na akafifia na mpaka kupotea, means sasa ame-recover na kuweza kuwa bora zaidi ya Manula ambaye ndiye kipa tegemezi wa Klabu Bingwa nchini na ndiye mpaka miezi michache nyuma amekua tegemeo la timu yetu Taifa Stars ikiwemo kushiriki katika michuano mikubwa ya AFCON na hata zile fainali za Klabu Bingwa Afrika.

Swali ni hilo, je ina maana Manula kaisha kwa kasi ya ajabu katika kipindi kifupi hivyo hadi mtu kama Kaseja kumfunika?

Je, ni matakwa ya kocha tu?

Mimi kwa kweli bado simuelewi elewi kocha wa Taifa Stars.
 
Manula siku za karbun anazingua sana hata sisi wapenzi wa simba tunataka kakolanya asimame golin
 
Kwangu kwa sasa amoja na kaseja kushuka kiwango, lakini ni golikipa mzuri zaidi ya manula.

Manula ni ilikuwa kukosekana kwa waganga mpaka mlevi nae atapunga watu majini.

Katika magolikipa(tanzania one) wa national team niliopata kushuhudia mimi tukiweka kwa ubora basi manula kwangu ndio alikuwa wa mwisho.

Kosa alilofanya mgunda nikuongea utumbo tu, hapo ndipo alipoharibu. Yale sio maneno ya kiprofesional ni maneno ya kwenye kanga tena kutoka kwa wanawake wa uswazi.
 
Manula wa kawaida sana, mikia wameamua tu kumpaisha! Hivi ndio yule aliyepigwa hamsa kule Misri na Congo? Bora ya Kaseja ingawa naye si mzuri kihivyoo
 
Manula wa kawaida sana, mikia wameamua tu kumpaisha! Hivi ndio yule aliyepigwa hamsa kule Misri na Congo? Bora ya Kaseja ingawa naye si mzuri kihivyoo
Hata Juma K Juma nae alipigwa goli 13 kule algeria soka la ufukweni
 
Manula sijui Nini tu huwa kinambeba Ila, kwa ubora Kakolanya ni Bora kuliko hata Juma K. Juma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…