Kamgomoli JF-Expert Member Joined May 3, 2018 Posts 1,896 Reaction score 4,058 Sep 8, 2019 #1 Kwa maoni yangu nazani hawa malegend na mashujaa wa taifa letu wanastahili hiyo heshima.
bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,443 Reaction score 9,854 Sep 8, 2019 #2 Sawa sawa
nessonlegend JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 1,698 Reaction score 1,512 Sep 8, 2019 #3 Sawa
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Sep 8, 2019 #4 Hongera Rais kwa kuandaa Vyema timu ya Taifa na kutuletea Ushindi Tangu Rais Magufuli kuwa Rais kiwango cha Mpira kimekuwa katika rank za Fifa
Hongera Rais kwa kuandaa Vyema timu ya Taifa na kutuletea Ushindi Tangu Rais Magufuli kuwa Rais kiwango cha Mpira kimekuwa katika rank za Fifa