Kaseja, Yondani na Elasto siku wakistaafu wapigiwe mizinga 20 ya heshima

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Kwa maoni yangu nazani hawa malegend na mashujaa wa taifa letu wanastahili hiyo heshima.
 
Hongera Rais kwa kuandaa Vyema timu ya Taifa na kutuletea Ushindi

Tangu Rais Magufuli kuwa Rais kiwango cha Mpira kimekuwa katika rank za Fifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…