Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Wenyeviti na wagombea wa nafasi za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini wametakiwa kuacha tabia zisizofaa ikiwemo ulevi, tamaa za wake za watu na matumizi mabaya ya madaraka baada ya kupata ridhaa.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hayo yamebainishwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (MNEC) Richard Kasesela wakati akizungumza na Wananchi wilayani Kyela Mkoani Mbeya katika kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa ambapo amesema kuwa
"Wenyeviti, huu ni ujumbe kwenu tunajua mnashinda hizo nafasi zenu. Niwaombe, muwe na nidhamu ikiwa kama ulikuwa mlevi basi uwe mnywaji, muache kutamani wake za watu" Amesema Kasesela.