Kashata za ufuta na bisi simple

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hope mko poa

mshamba_hachekwi aliomba nipike kashata so leo morng nikaenda mjini nikatafute mahitaj yangu nikaona ufuta nikakumbuka

Wakati nanunua vitu bhna si nikakutana na wamasai wakanilazimisha kununu roshoro nikasema sijawai kunywa ah nikaona isiwe kesi nikachukua nilishindwa nikaomba sukari muuzaji ananicheka ila sikumaliza muda haukua rafiki

Mahitaji ya ksahata za ufuta ni
Ufuta
Sukari
Mahitaji ya bisi
Maindi ya bis
Chumvi
Mafuta

Kwanza anza kuosha ufuta wako vizuri tu
Baada ya hapo nikaubabua yaani kuunga ili maji yakauke mda wa kuanika sikuwa nao wengine hawausafishi

Baada ya hapo chukua sukari weka. Kwenye sufuria yako hakikisha haina maji

Mpaka ukiona imekuwa urojo tu kama hivi moto weka mdogo kama hivi

Baada ya hapo weka ufuta wako kidogo kidogo
Baafa ya hapo ipua ipoe ukiona ishaanza kupoa anza kutengeneza duala kama hivi
Baada ya hapo weka kwenye hewa ili zishike vizuri kama hivi

Tuje kwenye bisi
Weka mafuta kwenye sufuria na maindi yako special ya bisi na chumvi

Baada ya hapo weka moto mdogo funika mimi nilikuwa natafuta mfuniko nikakosa nikaamua nifunike na sufiria

Baada ya dakika moja zinakuwa teyari ukizidisha utaunguza

Hivyo vyote nimetumia 3000 kijana unaweza uza ukapata na faida ukapata pesa ya vocha
 
Pole nje ya mada, lakini tutafanyaje sasa

View: https://youtube.com/shorts/pC-fjd7pKBw?si=Vcu6kTrjXdT690gD
 
Anza kurecord video mzee baba.

Mahitaji:

1. Simu yoyote yenye kuchukua video vizuri (iPhone kuanzia 11 kwenda mbele itafaa zaidi, set 4K resolution, 30fps)

2. Stend ya kushika simu. Ikiwa over the head ndio poa.

3. Source ya mwanga. Kama unapikia nje tumia jua tu kama unapikia ndani tafuta source kubwa ya mwanga au ata kama upo jiran na dirisha unaweza ukakifungua likawa source.
 
Nataman sana ila nikiingia mtandaoni tu mfano tiktok live italeta shida
 
Ngoja katikat ya wiki nijaribu
yan naupenda huo mkate coz hitumii mafuta ni ww na nazi yako unga wangano chumvi na huo ufuta kizaazaa ni namna ya kuuoka zanzibar wakat flan nilienda ulikua ni my fav huku nilipo had nipige sim moja chap nyumban nipikeni naipitia ila mm unanishinda
 
yan naupenda huo mkate coz hitumii mafuta ni ww na nazi yako unga wangano chumvi na huo ufuta kizaazaa ni namna ya kuuoka zanzibar wakat flan nilienda ulikua ni my fav huku nilipo had nipige sim moja chap nyumban nipikeni naipitia ila mm unanishinda
Changamoto kwangu itakuwa jiko la mkaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…