Usifanye live. Unarecord kisha una edit summary kama dk 5 hivi, unadeal na YT shorts, insta reels, tiktok, fanya unachopenda mkuu.Nataman sana ila nikiingia mtandaoni tu mfano tiktok live italeta shida
Hapo sawa iyo imekaa piaUsifanye live. Unarecord kisha una edit summary kama dk 5 hivi, unadeal na YT shorts, insta reels, tiktok, fanya unachopenda mkuu.
Tutamfinya akijaribu kufanya hayo.Usifanye live. Unarecord kisha una edit summary kama dk 5 hivi, unadeal na YT shorts, insta reels, tiktok, fanya unachopenda mkuu.
Ahahah au sio mikeTutamfinya akijaribu kufanya hayo.
Mapema Sana kakaAhahah au sio mike
Utapata mademu kibao humu teacherHope mko poa
mshamba_hachekwi aliomba nipike kashata so leo morng nikaenda mjini nikatafute mahitaj yangu nikaona ufuta nikakumbuka
Wakati nanunua vitu bhna si nikakutana na wamasai wakanilazimisha kununu roshoro nikasema sijawai kunywa ah nikaona isiwe kesi nikachukua nilishindwa nikaomba sukari muuzaji ananicheka ila sikumaliza muda haukua rafiki
View attachment 3237073
Mahitaji ya ksahata za ufuta ni
Ufuta
Sukari
Mahitaji ya bisi
Maindi ya bis
Chumvi
Mafuta
Kwanza anza kuosha ufuta wako vizuri tu
View attachment 3237074Baada ya hapo nikaubabua yaani kuunga ili maji yakauke mda wa kuanika sikuwa nao wengine hawausafishi
View attachment 3237076
Baada ya hapo chukua sukari weka. Kwenye sufuria yako hakikisha haina maji
View attachment 3237077
Mpaka ukiona imekuwa urojo tu kama hivi moto weka mdogo kama hivi
View attachment 3237078
Baada ya hapo weka ufuta wako kidogo kidogo
Baafa ya hapo ipua ipoe ukiona ishaanza kupoa anza kutengeneza duala kama hivi
View attachment 3237079Baada ya hapo weka kwenye hewa ili zishike vizuri kama hivi
View attachment 3237081
Tuje kwenye bisi
Weka mafuta kwenye sufuria na maindi yako special ya bisi na chumvi
View attachment 3237082
Baada ya hapo weka moto mdogo funika mimi nilikuwa natafuta mfuniko nikakosa nikaamua nifunike na sufiria
View attachment 3237084
Baada ya dakika moja zinakuwa teyari ukizidisha utaunguza
View attachment 3237085
Hivyo vyote nimetumia 3000 kijana unaweza uza ukapata na faida ukapata pesa ya vocha
Tumchangie afungue you tube page si ndioKazi tunayo bff wangu, Mwachi afanye afungue resta tukajilie vitamu tamu π
Dah πHope mko poa

Mwachi kashindikana πΉTumchangie afungue you tube page si ndio
Nmewahi akitoka kwako aje na kwanguMwachi kashindikana πΉ
Tumchangie mi mwezi mzima nipikiwe na yeye..!!