Kashfa nyingine kwa Polisi: Askari adaiwa kusababisha kifo cha mtuhumiwa

Walinda usalama wanapogeuka kuwa waondoa usalama.

Tunatakiwa kukifuta hiki chombo, tuanzishe kipya chenye maadili. Hawa wamekwishaharibika, hata waambiwe vipi, siyo rahisi kubadilika.
Hatuhitaji jeshi la polisi (police force).
Tunataka tuwe na huduma ya polisi (National Police Service).
Ni muhimu jambo hili kuzingatiwa wakati wa kuandika katiba
 
So sad ☹️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…