Kashfa nzito dhidi ya Manji...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027


My Take:


Hili limeandikwa kwenye "vibweka vya wakubwa" lakini nimeshtuka sana kwa sababu kama madai haya yana ukweli basi viongozi wetu ni watu wasiopima character za watu Inayohusiana nao. Nakumbuka jinsi alivyojaribu kwa kiasi kikubwa kuingia kwenye siasa wakati wa Uchaguzi wa 2005 huku akipigiwa debe na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar wakati ule.

Hivi karibuni pia kuna habari ambazo zimepenyezwa (sina uhakika nazo) kuwa anahusika na mimba ya binti mmoja ambaye sasa hivi amehama na jiji ili kuficha habari hizo (nasikia yuko Arusha)

Nazikumbuka habari hizi:

Luteni Makamba ammiminia mabusu mfadhili wa miradi


Na wakati fulani ndugu yetu mmoja alitoa nyeti hizi ambazo bila ya shaka ana uhakika nazo au kuna mtu anajua zaidi:


Sasa hapa najiuliza kuna matatizo gani kwenye safu ya wafanyabiashara wetu wakubwa? Hivi kijana huyu kweli ni nini kinamuongoza katika kutoa ufadhili n.k yawezekana ni katika kujijenga zaidi na kujilinda? Ni nini hasa tunachojua kuhusu mfanyabiashara huyu na hatima ya siasa Tanzania, je aweza baadaye kuwa ndiyo the next RA? Je yawezekana wanaoeneza habari hizi wanajaribu tu "kumpaka" kijana mzalendo na mwenye mapenzi kwa nchi yake kama Manji na wanafanya hivyo kwa sababu ya wivu?
 


mmmh hivi ulivyoileta kimajungu majungu hivi!!
 
Mtu wa Pwani, ni swali tu; nadhani umefika wakati tunavyowachunguza wanasiasa wetu tuwachunguze pia wafanyabiashara wetu. Mara nyingi tetesi kuwa "wafanyabiashara wakubwa wanahusika na madawa ya kulevya" au "Viongozi wakubwa serikalini wanawalinda Vigogo wa Madawa" wakati mwingine zinakuwa ni kuzunguka zunguka tu bila kupanda mti wenyewe. Kama unaona ni majungu achana na hili; tuendelee na mengine.
 

Unapoanza kwa kusema ni majungu bila kutoa maelezo tunaomba utusaidie kupata taarifa ya upande wako, vinginevyo ukae kimya kuacha wenye data wakamwaga humu.

Kuhusu huyo kijana kuwa na mahusiano yasiyo ya kimaadili, hata mimi nimeyasikia tena kwa watu wa karibu naye mmoja tena ni mtu aliyewahi kuwa msaidizi wake wa karibu mno. Lakini pia hata ukimuona anavyozungumza, utapata picha ya ajabu kabisa. Mungu aepushe mbali na watoto wetu
 

Mzee mbona kama unaminyaminya? mahusiano yasiyo ya kimaadili manake nini? maana hiyo ni definition ya mtu mwenyewe, kuna wengine ukiwa na girlfriend wanasema si maadili sharti muoane, wengine wanaona poa, sasa hayo mahusiano unayoyayita si ya kimaadili ni yapi?
 

Huko juu naona kama yameshagusiwa... Unajua si maadili yetu kwa mfano, mzee Makamba kumpiga busu Manji si maadili yetu, kwa yeye mzee wa Kisambaa, si maadili ya wasambaa, kupigana busu wanaume kwa wanaume tena hadharani
 
Ila haya ya kuwa anaji"dunga" sindano yana ukweli wowote au ndo maana hajishughulishi na kampeni dhidi ya madawa isipokuwa mpira tu...?
 
Ila haya ya kuwa anaji"dunga" sindano yana ukweli wowote au ndo maana hajishughulishi na kampeni dhidi ya madawa isipokuwa mpira tu...?

Kuna kijana mmoja ambaye zamani alikua polisi wa upelelezi pale central na baadaye kuajiriwa na huyu kijana, anasema suala la kujidunga si la mjadala.. analifahamu kwa uhakika kabisa... walikua vijana wake... mtu mwingine ni dada mmoja ambaye naye ana mahusiano naye ya kikazi, anathibitisha hilo, mwingine ni jamaa yake wa dini yake ambaye naye analielezea hilo kwa masikitiko makubwa.. nashangaa hilo kuwa mjadala, si jambo jipya kabisa
 
Huko juu naona kama yameshagusiwa... Unajua si maadili yetu kwa mfano, mzee Makamba kumpiga busu Manji si maadili yetu, kwa yeye mzee wa Kisambaa, si maadili ya wasambaa, kupigana busu wanaume kwa wanaume tena hadharani

Hivi huyu Makamba ndiyo yule aliyewaambia wanaume pale Dodoma "I love you" ??
 

haa, haaaa, haaaa
 
Ina maana zaidi ya kubwia unga jamaa pia ni "punga" au mna maana gani, isije ikawa mie ndiye ninayeuelewa tafauti huu mjadala! Na je hili suala la Mzee Makamba "kummiminia" mabusu hadharani lina uhusiano wowote na tuhuma hizo? Hebu wenye data tuwekeni wazi tuelewe vizuri.
 

Mpunga!!! Ubwabwa!!!! Mhnn mimi thithemi
 
Hivi jamani naomba niulize, mtu aweza kuwa punga wakati huo huo anadunga mimba ze dadas? mi nilijua akisha pigwa mabusu yeye hawezi piga tena?
 
Hivi jamani naomba niulize, mtu aweza kuwa punga wakati huo huo anadunga mimba ze dadas? mi nilijua akisha pigwa mabusu yeye hawezi piga tena?

Marehemu Omar Kopa alikua na mke, na wako waliomgombania. Wako wa aina hiyo wenye watoto na familia
 
Hivi huyu Makamba ndiyo yule aliyewaambia wanaume pale Dodoma "I love you" ??


Naaam, hujakosea mkuu. Ni yeye.

Mkjj,

Ni kweli imefika wakati tuwachunguze wafanyabiashara wetu, si tu kwa kuwa nao wana aspirations za leadership nchini, bali pia wanainfluence maamuzi ya viongozi wetu dhaifu kama YM.

Hawa biashara zao ni za mazabe mzabe mno ndo maana they never want to use Stock Markets.
 
Lakini hayo ya kutumia madawa ya kulevya sidhani tunaweza hata kuyafumbia macho. Hayo ya down low inawezekana ndio maana amekuwa na mgongano na viongozi wa dini?
 
suala la uteja sio siri...kwani angalia hata macho na ule mdomo,,,angalie asije akawa kama ABBAS GULAMALI..mfadhili wa zamani wa yanga..uteja na kujidunga kulimuua hadi damu ikawahaibadilishiki tena..pamoja na ubunge wake..

lakini hili la uteja ni tatizo kubwa la watoto wa matajiri especially waliosomeshwa mashule makubwa makubwa...na ukiangalia manji ni kama mtoto wa MENGI kwa umri..tabia ya manji fananisha na ya MAREHEMU MUTIE au BINTI REGINA..je tabia zao zinatofautiana na za mtoto wa tajiri MANJI????....je hamuoni linahitaji mjadala wa kimalezi hili???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…