Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.


Huyu barabara nadhani anapoandika huwa hafikiri hata kidogo yaani linalokuja kichwani tu ndio hilo hilo, na vile vile majibu yake hayaridhishi hata kidogo, majibu yake ni ya kijiweni na kubahatisha tu. kwa mfano kuna thread alianzisha inayohusu uwanja mpya unaojengwa hapo TZ, akaambiwa hapa sio pahali pake basi jibu lake mmmmmh

Sawa BB-18, lakini hii inahusu michezo, kuna mahala pake!

hili ndio jibu lake:

Hebu Kitoe Kule

nakuomba uwe serious ndugu yangu Barabara
 
Waungwana,

Hapa mnajadili nini? Wengine tunaendelea kuomboleza na tutarudi kuchangia baadaye.
 
Wanajambo imekuwa siku nyingi sana lakini niseme tu kwamba ninapomuona mama kilango akiongea bungeni namkumbuka sana marehemu amina chifupa.Je amina angekuwepo na kuungana na mama kilango...ingekuwajeee????
Mungu ampumzishe amina mahali pema milele.
 
angekuwepo Ingetegemea Yupo Upande Gani, Angeweza Kuwa Upande Wa lowasa Au Mwakyembe!
Upo Hapooo!!!!
 
angekuwepo Ingetegemea Yupo Upande Gani, Angeweza Kuwa Upande Wa lowasa Au Mwakyembe!
Upo Hapooo!!!!

huyu tumsameheni jamani, yake hapa duniani yeshaisha. Tusifufue mengine maana tukianza kumzungumza wengine watakuja na mengi ambayo mwisho tutafika kutomtendea haki.

MOLA mpuzishe kwa amani kiumbe chako
 
uchaguzi mbeya huku ukiwa na kashfa na marehemu......! (ZITO ARE YOU THERE?)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…