Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

wanafanya uchangudoa kwa sababu ya kihelehele chao
 
Tatizo ukiwa pale Dodoma, ukimtokea demu yeyote atajitambulisha kuwa anasoma udom hata kama ameishia darasa la nne B na anakaa chang'ombe.

Hili linaweza kuwa jambo la kupingia huo mtazamo,kama mtazamo huo unatolewa na watu wa mtaani.
Ila kwa kuwa mtazamo huo unatolewa na wanafunzi wenyewe, basi inakuwa ngumu kidogo kuupinga, kwani wanafamiana.
 
Tatizo ukiwa pale Dodoma, ukimtokea demu yeyote atajitambulisha kuwa anasoma udom hata kama ameishia darasa la nne B na anakaa chang'ombe.

sasa wewe unabisha wakati wanafunzi weneyewe wankubali kwamba hiyo biashara ipo na inalipa
 
Tatizo ukiwa pale Dodoma, ukimtokea demu yeyote atajitambulisha kuwa anasoma udom hata kama ameishia darasa la nne B na anakaa chang'ombe.

hili nalo neno, kila unayemuuliza anakuambia anasoma UDOM, wanawachafua wenzao ingawa ni kweli wnafunzi wa UDOM wako wengi tu wanafaanya biashara hiyo
 
Hawa wahitimu hawakufanya hivyo? Maana wasilete umbea hapa kisa wamehitimu.
 
 
mfano mdogo tu,niko hostel moja hapa dar na hapa tupo wanafunzi wa vyvo 4 sasa yanayofanyika ni zaidi ya udom,jihadhar
 
Life is how you make it, kama hali ni mbaya ni mbaya tu, kwani ni nani anaeweza kumzuia binti akiamua kuwa malaya?
 
ssoooooooooooooo baaaaaaaaaaad, lakini why msomi anashindwa kubudget mpaka anaishiwa kiasi cha kuacha kuuthamini u2 wake na kuamua kujiuza? any way tusiwalaumu UDOM peke yao ila kiukweli wanafunzi wengi wa kike zama hizi wamekuwa wakijiusisha na ngono zembe.....life styl na economic hardship vimeonekana kuwa ni kichocheo kikubwa....how can we rectify the situation now?
 
[h=3]KUTOKA STAR TV:KASHFA! WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA UDOM WADAIWA KUFANYA BIASHARA YA KUJIUZA KATIKA KUMBI ZA STAREHE DODOMA, SOMA HAPA[/h]




Taarifa ya habari ya Star tv ya saa mbili usiku ya tarehe 23/11/2012 imeeleza kuwa wanafunzi wa kike katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wanadaiwa kufanya biashara ya ukahaba katika maeneo mbalimbali ya starehe mjini Dodoma!



Habari hii inasikitisha hasa ukizingatia umuhimu wa wasomi hawa katika Tanzania na hatari inayoweza kuwapata kama taarifa hii ina ukweli.


Kama jamii tujiulize, tatizo ni nini mpaka mtu wa level kama hiyo kuamua kuvaa vichupi na kujiuza kwenye clubs na sehemu zingine??


CHUO KIKUU cha Dodoma UDOM kinadaiwa kukumbwa na kashfa ya ngono kufuatia madai kwamba baadhi ya wananafunzi wa kike wanajihusisha na biashara ya kuuza miili yao kwa lengo la kujikimu kimaisha.


Tuhuma hizo zimebainika wakati wa mahafali ya tatu ya UDOM huku takribani wahitimu 6392 wakitunukiwa vyeti,stashahada,shahada za kwanza,uzamili na shahada za uzamivu.
Chuo Kikuu


cha Dodoma ambacho kilianzishwa rasmi mwezi machi mwaka 2007 kimejipatia sifa kemkekm za kitaaluma licha ya ukweli kwamba bado ni kigeni machoni pa wengi.


Tuhuma za ngono miongoni mwa wanafunzi wa kike zinadaiwa kusababishwa na ukata hatua inayowalazimu kutoroka chuoni nyakati za usiku na kujiunga na baadhi ya wasichana wa mitaani waliokubuhu kwenye ukahaba maarufu kama machangudoa kwa lengo la kujiuza.


Wakizungumza na star tv wakati wa mahafali hayo baadhi ya wahitimu wanathibitisha uwepo wa vitendo hivyo vilivyo kinyume na maadili.

Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivyo Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof.Idris Kikula anatoa onyo kali kwa wote watakaobainika.


Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amenukuliwa kwa nyakati tofauti akisisitiza suala la maadili chuoni hapo hatua inayodaiwa kupuuzwa na wanaojihusisha na vitendo hivyo.


IMETOKA KWA DJ SEK BLOG
 
Inakuaje kwa wale watunga sera wetu wanaobwabwaja Mjengoni (Waishiwa)?
inasemekana ndo wateja wao wakubwaaaaaaaaaaa sana!
Bungeni tumepeleka wengi malaya wa kiume na kike-kweli TZ kuendelea ni baada yakurudi Kristo!
so pathetic indeed!

SHAME~~~ Wasomi sio chochote SIKU hizi?
 
safi sana tena waendelee na kasi zaid nguvu zaid na hali zaidi ili kupata maisha bora kwa kila mwanachuo
 
Nashauri injili nzito ipelekwe hapo chuoni haraka; Yesu ndiye jibu lao.
 
Acheni uzushi, mimi nimesoma Bachelor UDOM na Master UDSM, kiukweli, UDSM kimebaki jina tu, hakuna mpya lolote! Wahadhiri hawafundishi, wengi wanaofundisha wanatumia yellow material, yaani limebaki jina tu, sina mchango kwa Mzumbe, SUA na kwingineko kwani sijasoma huko!
 

mkuu inaonekana una info za kutosha kuhusu sakata hili, au uko jikoni nini? refer red hiyo
 

actually as much as i hate agreing with this fella nakubali kweli now kuna uzembe flani katika ufundishaji na ufatiliaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…