Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

Jamani Presdent hauoni hili! Tatizo ni kwamba BOOM HALITOSHI..fanyeni mchakato wa kuongeza boom angalau lifike 15000 kwa siku.. TATIZO LITAKUWA BHAAAS...
 
Hayatuhusu. Ni maisha yao. Pilipili ya shamba wewe inakusumbua kitu gani?
 
UDOM Wanauza kweli hao hapo Chako ni chako wanakatiza wakitafuta zaidi ya jero sasa wanaona soo wanaitaja UDSM kwan ndo wamesema? mmeonekana mnaliuza jero na wanaosema wameokoka na maustadh ndo wauzaji wazuri huku wakijificha na dini mchana usiku wanaegesha kwa jero, aibu ukipita ukisema umesoma UDOM unaitwa jeri!
 

Asante kwa stori nzuri
 
Kweli wewe umesoma UDOM...Hapa kinachojadiliwa ni ukahaba wa Udom wewe unazungumzia mambo ya Wahadhiri. Labda kama ulikuwa unamjibu mtu..Kama ndivyo ulipaswa kuquote hiyo post vinginevyo unaonekana kilaza kweli
 
Sipendi Ubishi ila huwezi Compare UDSM na UDOM...bdo udsm wapo juu interms of resources:Labs,workshops,human resources,na vingine vingi hata best lectures bdo wapo udsm na Mzumbe...hyo ya kujiuza na biashara ya ivo Udom wameipiku udsm nowdays kiukwel;ustaarabu umerudi mlimani siku hizi sio kama miaka ya 2000.all in all hzo mambo za kujiuza ni hulka ya mtu binafsi chuo hakihusiki.😑😑😑😑😑
 
Ni ukwel usio pingika, na tatzo sio kwamba hawana hela, tatzo ni ushamba na tamaa..wafanyakaz asilimia kubwa sio wazee wala vijana wana mademu udom, kama kwenu ni dodoma na home mnagari uktaka demu udom ni kama vile unakamata kuku wa kisasa..ukimtoa out mtoto wa udom mfn umpeleke..master pub,free point,rainbow,unq pub,cafe latino, yani hautumii hata elfu 20! Unamfanya unacho taka..naongea kitu ambacho nimekiona kwa macho yangu..hasa mwaka watu ndio warahisi! Cha kusikitsha girls wanao fanya hivyo ni wazuri kupindukia..
 

girls wa udom ni chip kinoma..we nenda dodoma ujionee, uwezi amini kuna vitoto kazi yao ni kuzurura town...huwa wanatembea vground, watu, wawili,
 
Kweli wewe umesoma UDOM...Hapa kinachojadiliwa ni ukahaba wa Udom wewe unazungumzia mambo ya Wahadhiri. Labda kama ulikuwa unamjibu mtu..Kama ndivyo ulipaswa kuquote hiyo post vinginevyo unaonekana kilaza kweli

udom kwa ukahaba ni mwisho wa matatzo...kama unataka thbtsha nenda mwenyewe..ujionee! Kama unataka kufa kuwa na demu udom ama mchumba %80 wote ni wachafu
 
Reactions: SG8

udom ni janga' hata madereva wa mabusi wana badilsha grls wa udom kama mboga.
 
Jamani Presdent hauoni hili! Tatizo ni kwamba BOOM HALITOSHI..fanyeni mchakato wa kuongeza boom angalau lifike 15000 kwa siku.. TATIZO LITAKUWA BHAAAS...

tatzo sio boom' ni tamaa na ushama, kuna demu yupo vzuri kfedha na kiurembo, yeye gari ndo uchiz wake...wenye hela ndo warahc kupndukia
 

jamani udom wamezd
 

tatzo udom makahaba wamezd
 

kweli we form 6 yaani miaka zaid ya 50 ya chuo cha ud unafananisha na miaka 5 ya udom?
 
co tuwalaumu loan board pekee kwa kuchelewesha mikopo but hata cc vijana(wanafunzi) tunamatumizi mabovu sana
kwani kuna unneccessary expenses nyingi sana
mfano:kila wikendi unaenda club na huko unatumia si chini ya elfu 30,Unataka ujioneshe kuwa ww ni matawi unanunua mawigi ya 25000 na kila baada ya siku 3 unabadilisha,unataka kilasiku kulachipsi kuku#

kwa mtindo huu utaachakuwa juu ya mawe mapema?#

mfano: mm naxoma st john nimepanga gheto na ninalipa bili ya maji,umeme na kodi ya nyumba but tangu boom la kwanzalimeingia cjawahi kuomba hata senti kutoka kwa wazaz also sina source nyingine ya income na bado ninaela ya kutumia kwa kipindi cha mwezi mmoja na nusu ujao#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…