Chuo hiki kina matatizo mengi sana
Hiki Chuo kina kashfa nyingi hadi inakera. Wahusika wachukue hatua haraka ili kuepuka madhara zaidi ya kuwapata wataalamu vihiyo.
Kashfa ya Uchakachuaji wa matokeo ya mitihani Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Chanzo ni Gazeti la Jamhuri la tarehe 31/12/2013. Kashfa hii imetokea kwa tawi la Chuo Zanzibar na Dar. Wito unatolewa kwa Wizara ya elimu kuchunguza na kuchukua hatua kwa suala hili maana ni aibu kwa elimu ya nchi yetu.