DIUNATION
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,591
- 1,719
Fifa imesema aliyekua raisi wa fifa Sepp blatter pamoja na manaibu wake wawili walijipatia kiasi cha dollar million 80 isivyo halali.Huyu mzee alikua mwizi na ndio maana kila alipotaka kutolewa madarakani alihakikisha mpinzani wake anapotea.Sasa ni zamu yake ataisikia fifa ndotoni.
Source.France 24
Source.France 24