Kashfa zinazomkabili Mhe. Aeshi Mbunge wa CCM Sumbawanga Mjini

pamoja na uchafu wa Aeshi kama unavyotuambia binafs ningependa kujibiwa kwanza kwa tuhuma za yule mzee Mzindakaya
 
pamoja na uchafu wa Aeshi kama unavyotuambia binafs ningependa kujibiwa kwanza kwa tuhuma za yule mzee Mzindakaya
Majibu ya uchafu wa Mzindakaya yapo katika thread nyingine hapo juu Mod wametushauli tuanzishe hii huku sijui wewe umekujaje huku???
Nenda kule !!!
Sisi tunataka kufichua uchafu wote kwani ndani ya CCM hakuna msafi!!!
Sasa naona wewe una masuali ya Zamani nagalia jimbo linakwenda upinzani na Makamba amekwenda kuwa andalia makao
 
USITOE POVU 111
Hii ni sehemu (10% tu ) ya Operation M7711 Mkoa wa Rukwa kama Mhe Aesh atajibu nitaweka kila kitu hapa ili Bunge lisishamili Wafiraji na Mashoga!!!
Namna hii ni ngumu sana mtu huyu kukemea ushoga!!
 
Hawa wenye hii asili kwa nini wanaendekeza sana Uliberali? Je, makabila yao yanaruhusu mambo haya?

BTW CCM hakuna msafi, woooote wameoza!
 
Duuuh, mazito haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…