Ohoooooooooo, i am in trouble..plzz heeellllppp!! Tumekuchagulia mabinti wawili..uje uangalie yupi anakufaa uoe..mabinti wa huko mjini wahuni na matapeli tu...Ohoo..nifanyaje wadau??
nawashukuruni wote kwa ushauri wenu..yote yanafaa..
tatizo lipo walijuaje kama ameshachagua tayari,wakoloni hao.ndiyo maana wakakwambie uende ili ukachague lkn hawajakulazimisha sioni tatizo hapo.
Lol, my lips are locked, manake zipping naona ni hatari.....:sleepy::sleepy::sleepy:
Sijihusishi na simu yake kwani sio yangu!Na simu yake hainihusu!