Kashi kashi za simu

funguka ..unamuogopa nani?

kuna mwalimu wangu humu. Ila endelea ku-keep ya kwako silent. Wakiamka watakushauri jinsi ya kumfanya yake aweke loud AMA aondoe network kabisaa
 
Nilitaka kujua kama hayo hapo in bold
yanahusiana na mada kabla ya kumjibu
yawezekana silent mode haimuudhi yeye
precisely because hana partner (could be)
Na kwa nini aliweka hayo maneno hapa?
Is there a link with the topic discussed???
 
kuna mwalimu wangu humu. Ila endelea ku-keep ya kwako silent. Wakiamka watakushauri jinsi ya kumfanya yake aweke loud AMA aondoe network kabisaa

-mi niko single-,sema nataka kujua mawazo ya wanajamvi kuhusu hili suala..
 
Nilitaka kujua kama hayo hapo in bold
yanahusiana na mada kabla ya kumjibu
yawezekana silent mode haimuudhi yeye
precisely because hana partner (could be)
Na kwa nini aliweka hayo maneno hapa?
Is there a link with the topic discussed???

intention ya kuweka hayo maneno hapo kutaka discusion isiwe km king'asti alivyochangia hapo juu,....
 
Cheater cheater kama mnaishi wote ndoa au bila kwa ndoa...
 
intention ya kuweka hayo maneno hapo kutaka discusion isiwe km king'asti alivyochangia hapo juu,....
lengo halikukamilika basi. all you have achieved is to raise more questions now...
kwa nini huna mewnzako? mara ya mwisho kuachana na mpenzio mlikosana nini?
breakup process ilianza kwa kutokana na sim? ulisoma message? au yeye alisoma?
Kwa nini uliamua kutoangalia sim ya mpenzio (ukimpata) na yeye asiangalie yako?
 
seriouly!this is not about me,kwan hata na ww hujanielewa point yangu mpaka uniulize na maswali yote hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…