Kashi kashi za simu

seriouly!this is not about me,kwan hata na ww hujanielewa point yangu mpaka uniulize na maswali yote hayo?
nataka kuelewa kilicho sababisha wewe kuchukua uamuzi huo.
 
niko very open kwenye cmu yangu,but its always on silent so its hard for some1 to notice anythin
 
Mie naona kawaida tu cause binafsi simu yangu hua iko silent most of the time! Hua sipendi kudraw people's attention na makelele ya simu kama radio..
 
Mie naona kawaida tu cause binafsi simu yangu hua iko silent most of the time! Hua sipendi kudraw people's attention na makelele ya simu kama radio..

what abt ur patner,hamaindi cmu yako iko kwenye SILENT most of the time?
 
what abt ur patner,hamaindi cmu yako iko kwenye SILENT most of the time?

wala hajui kama ipo silent na kama anajua then may be ameridhika na kama hajaridhika kuna siku ataniuliza..hua sina limitations za kumzuia kushika simu yangu ndo maana haoni tatizo..the only intention ya kuiweka silent ni kuepuka makelele..
 
nitarudi baadae kidogo wanajamvi.
 
Makelele ya simu huwa siyapendi sana............simu yangu ya mchina ikiita utadhani kengele ya kuita mkutano wa kijiji.
Naweka tu silence.....kuepusha usumbufu usio wa lazima.
 
Mimi sipendi makelele so Simu zangu ziko silent all the time, hata niliingia meeting n church sipati shida ya kufunga simu.

Shida ni kureturn calls ambazo umezimiss!
 
Mimi sipendi makelele so Simu zangu ziko silent all the time, hata niliingia meeting n church sipati shida ya kufunga simu.

Shida ni kureturn calls ambazo umezimiss!

Mimi pia Kaunga, huwa zipo silent na sababu ni hizo hizo....huwa sipendi kusumbua watu/mtu kwa milio ya simu ya ajabu ajabu
 
Last edited by a moderator:
Mimi sipendi makelele so Simu zangu ziko silent all the time, hata niliingia meeting n church sipati shida ya kufunga simu.

Shida ni kureturn calls ambazo umezimiss!

umeóna,na waungwana ni kama wana timing vile,ukiwa mbali kidogo na cmu tu,unakuta missed calls zakutosha,.
vp mwenza wako hawi suspicious?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…