Kashi kashi za simu

Duh Mwali bwana siku nyingi no see jamvini upo?Niko busy lakini nimeshindwa kujizuia kukusalimia,hi
Mi nipo tu ndugu yangu. Nilikua likizo ila sasa nimerudi.
Mzima wewe? Uko busy na shughuli gani nije kukusaidia?
 
mi sipendagi makelele ya simu kwa hiyo mara nyingi hua naweka kwenye vibration...or very low volume
 
Mi nipo tu ndugu yangu. Nilikua likizo ila sasa nimerudi.
Mzima wewe? Uko busy na shughuli gani nije kukusaidia?

Karibu tena,nice to see you back.Mmmh Mwali hili zege halilali leo,utaweza?
 
Mimi pia Kaunga, huwa zipo silent na sababu ni hizo hizo....huwa sipendi kusumbua watu/mtu kwa milio ya simu ya ajabu ajabu
Uncle unatumia mchina? mbona ile iPhone yako haina kelele?
Karibu chai Uncle...

Ya kweli haya kaka Kaizer au kuna sababu nyingine?

Kweli tupu kibali....hakuna sababu nyingine...binafsi nakuwa irritated nikisikia simu ya mtu inaita tena kwa sauti kali...mara nyingi nakuwaga mazingira discreet yasiyotaka milio milio ya simu au usumbufu mwingine so 24/7 silent mode na vibration inatosha kabisa kunialert.
 
Last edited by a moderator:
Uncle unatumia mchina? mbona ile iPhone yako haina kelele?
Karibu chai Uncle...

wow thats so lovely Mwali THANK YOU....you are right mi sina mchina hata siku moja ila kibali haamini hebu mhakikishie jamani lol
 
Last edited by a moderator:
wow thats so lovely Mwali THANK YOU....you are right mi sina mchina hata siku moja ila kibali haamini hebu mhakikishie jamani lol
mi bado nna kawasi wasi nadhani kuna kale kasababu ketu kale
 
wow thats so lovely Mwali THANK YOU....you are right mi sina mchina hata siku moja ila kibali haamini hebu mhakikishie jamani lol
kibali, wacha dharau! unadhani uncle wangu ni wakutembea na mchina kweli?
Ana iPhone ya uhakika na Samsung Galaxy nyeupe kama barafu. zote SILENT. lol
 
Last edited by a moderator:
kibali, wacha dharau! unadhani uncle wangu ni wakutembea na mchina kweli?
Ana iPhone ya uhakika na Samsung Galaxy nyeupe kama barafu. zote SILENT. lol
hehehehehe haya mwaya ankali wako bana bado sina imani nae lol
 
ila najua wengi humu mmeshawah kulalamika au kulalamikiwa kuhusu cmu kuwa SILENT,sema mmeamua kujikausha
 
Nawachukulia kama watu wanao endesha maisha yao watakavyo bila kuvunja sheria!
 
Nilitaka kujua kama hayo hapo in bold
yanahusiana na mada kabla ya kumjibu
yawezekana silent mode haimuudhi yeye
precisely because hana partner (could be)
Na kwa nini aliweka hayo maneno hapa?
Is there a link with the topic discussed???

New style kutafuta mpenzi mwayego! Hujasituka tu kuwa kaona so kuwekamo kule lav konect? Bluetooth yake iko on...teh!
 
not garden tool plz...its the digging tool!

Per Merriam-Webster
plural hoes
[count] : a garden tool that has a flat blade on a long handle
Source

Per Oxford Advanced Learner's Dictionary
a garden tool with a long handle and a blade, used for breaking up soil and removing weeds (= plants growing where they are not wanted)
Source

So come again.
 
New style kutafuta mpenzi mwayego! Hujasituka tu kuwa kaona so kuwekamo kule lav konect? Bluetooth yake iko on...teh!

mimi siamini katika kuanzisha relationship na wanawake ninaojuana nao kupitia social network,.
 
Mimi pia ni mmoja wa watu wanaochukia mlio wa simu hivyo simu yangu muda mwingi iko kwenye vibration. Huwa nahisi kama nawaboa watu simu yangu ikiita kwa sauti.

Nadhani nimekuwa influenced na kukaa kwenye nchi ambayo norms zinakataza mtu kuacha simu yake ilie kwa sauti akiwa kwenye public transport achilia mbali kwenye vikao.

Hivyo sioni tatizo simu ikiwa silent mode...ni juu ya mwenye simu kama atajua kama simu yake ikiita. I prefer vibration kuliko silent mode
 
Per Merriam-Webster

Per Oxford Advanced Learner's Dictionary

So come again.
kweli kabisa, huku kwetu ni la kupeleka shambani, tena sio ka vegetable garden, ni shamba la maekari hasa!
 
kumbe tuko wengi,
 
Mi sina shida ya yeye simu yake kuwa silent, kwanza sipendagi makelele makelele kwani hata mie muda mwingi simu yangu huwa kwenye hiyo mode ya silent..!
 
inaonekana watu wote tunaochangia humu ni wa SILENT, cjui hawa wengine wamekimbilia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…