Ofcourse na mie pia huwa na prefer simu yangu iwe katika hali ya vibration au niweke mlio mdogo mno niwe nasikia mwenyewe dhumuni hapo ni kuto kusumbua wengine kwa case ya public areas na sehemu nyingine. Na when it comes to relationship stuffs inategemeana na jinsi nyie wenyewe namna mna handle situations za hizo simu zenu kuwa silent au..!