Kashidwa kuchagua adhabu baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Yule jamaa mwenye nguo zenye lebo ya "mborni tushyne" mbona naskia anabokolewa afu we unaleta story za aina hiyo za watu wakubali wafokolewe.Mbona sikuelewi?
 
Yule jamaa mwenye nguo zenye lebo ya "mborni tushyne" mbona naskia anabokolewa afu we unaleta story za aina hiyo za watu wakubali wafokolewe.Mbona sikuelewi?
ujaelewa nini mkuu
 
Huyo ndo jasiri japo kapoteza balbu pole yake atabaki gizan kamwe hataiona Nuru
 
Naogopa sana mke wa mtu
Msichana wa mtu
Sitaki kumsogelea kabisa
 
Kuna wanawake kwa wanaume hizo ndio starehe zao. Ila mimi hapo nachagua kupambana. Chochote watakachofanya ni kwa lazima sio mm kukubali.

Duc in Altum
Cku yako haijafika ukifumaniwa unalegea kuliko mlenda. Omba yasikukute labda uache hata uwe mbabe kivipi tena uta tresiwa number yako shauri yako
 
Ukijisikia hamu ya kushikishwa ukuta, tafadhali nakuomba utembee na mke wangu. Kuku mnafu weeeeee!
 
Ukijisikia hamu ya kushikishwa ukuta, tafadhali nakuomba utembee na mke wangu. Kuku mnafu weeeeee!
Kaka utakuta hapo ulipo wife kuna wadau wanapiga sema we hujui, ni muhimu kukaa kimya tu ni ngumu sana kujua kumbuka michezo hii inafanywa na watu wenye akili kama wewe pia, na siku ukigundua kashaliwa sana na unaweza ukajidai unafumania ukafumuliwa wewe. This world is not fair broo.

Duc in Altum
 
Kuna wanawake kwa wanaume hizo ndio starehe zao. Ila mimi hapo nachagua kupambana. Chochote watakachofanya ni kwa lazima sio mm kukubali.

Duc in Altum

Mjeda kaniambia akikubamba atakunyonyesha dushelele! sijui utaombaje poo hapo??
 
Mjeda kaniambia akikubamba atakunyonyesha dushelele! sijui utaombaje poo hapo??
Yote yanawezekana ila ninachoweza kusema ni kuwa haitakuwa rahisi sana. Mwisho wa siku anaweza akanyonya yeye.

Duc in Altum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…