Huyu jamaa ni mpuuzi kweli...anadhani ni jambo la kujisifia.......
Kuna ndugu yangu mmoja alikuwaga mbabe sana hapo mtaani kipindi hicho.....akawa anatembea na mke wa jamaa fulani hivi wa kizigua.....watu wakampa taarifa na akafumania lakini kutokana jamaa ana genge lake la wababe....wakamdhibiti jamaa na kumpa kipigo kikali sana....
Jamaa akaenda kwao Tanga....na baada ya mwezi majibu yakaonekana...yule mbabe akawa anawafuata watu mwenyewe wamuingile kinyume.....na kama akikosekana mtu anajiingiza vitu kwenye tundu yake mpaka hamu yake inamuisha....mpaka naandika hapa jamaa ni chizi mkongwe hapo kariakoo....