KASHIFA YA WATERGATE (WATERGATE SCANDAL)
Wakati kashifa hii inagonga vichwa vya habari katika vyombovya habari duniani miaka ya sabini hapabongo sisi tulikuwa tunaisoma sana katika gazeti la Newsweek gazeti hilililikuwa linatoka Marekani kila week nandege ya shirika la ndege la marekani la TWA ( Trans world Airline) na lilikuwalinauzwa sh 7.
Ilikuwa na very interesting (thrilling) ukianza kusoma topichiyo ndani ya newsweek huachilii.
Kwa kifupi sana kashifa hii ilitokana na uchaguzi wa uraiswa Marekani mwaka 1972. Mgombea wa chama cha republican alikuwa ni raisaliyekuwa madarakani bwana Richard Nixson. Chama cha republican kilikuwa kinadalili ya kushindwa kutokana na kukosa imani nacho kwa wanainchi wa Marekanihasa kushindwa kwa marekani katika katika vita vya Vietnam zote mbili Hanoi naSaigon.
Kutokana na sababu hiyo republican ilipunguwa kabisa mvuto kwa maanawakati wanashindwa vita wanakimbia wenyewe ndio walikuwa madarakani. Vita yaVietnam na Marekani ilikuwa miaka ya sitini mwishoni kwa hapa Tanzania ilikuwainatangazwa katika taarifa ya habari ya RTD saa mbili, nakumbuka kuna sikutaarifa ya habari hiyo ilitangaza mambo mawili tu ikaisha nayo ni Azimio laArusha na Republican haikuwa tayari kabisa kupoteza uchaguzi huo kwahiyo walifanya kila mbinu washinde, hizo mbinu ndizo zilizaa kashifa ya Watergate.
Watergate yenyewe nihotel ya kifahari iko ufukweni kabisa mwa bahari katika jiji la Washington,mahari hapo ndipo walipokuwa wanafanya mikutano ya kimbinu ya chama pinzani chademocratic, sasa nimesema chama tawala cha republican hakikuwa teyari kushindwauchaguzi huo kwa hiyo basi walifanya kila mbinu ili washinde moja wapo ya mbinuhizo ni kujua democratic walikuwa wanajadili mbinu gani za ushindi katika ukumbiwa mkutano wa hotel ya Watergate?
Walichofanya walipeleka watu wao (burglaries)wakatege kanda za kunasa mazungumzo yawapinzani wao ndani ya mikutano ili wazijue mbinu zao pia kunasa mawasiliyanoyao ya simu. Kwa hili walifanikiwa ila Democratic walianza kushangaa kwa ninikila wanachopanga Republican wanajua na wanatekeleza kila walichoazimia? Kwamsemo wa Kiswahili kila Democratic wanakolalia republican ndiko wanakoamkia.
Kwa bahati mbaya vyombo walivyotega viliacha kufanya kaziinakisiwa kuwa chama cha Democratic kiligundua mtego huo kikategua na wakawekana wenyewe mtego. Sasa si ma ba-burglary (kama wezi) wakarudi tena Watergarehotel kutengeneza hiyo hitilafu ili mawasiliano yawafikie tena repulican, ni kama unaenda kuiba mwenyewe anakuona, waleburglaries waliingia hotelini kwa kuvunja mlango au kwa kutumia funguo malaya Democraticwakapiga simu polisi wale jamaa walikamatwa red-handed wakifanya hiyo kazi
Kwa kifupi hicho ndicho chanzo cha kashifa yenyewe, ofcourse republican walishinda ila democratic walifungua kesi ya kufanyiwa udukuzi na chama cha republican na walitumia private investigators waliwabana vilivyorepublican kwa kutumia kanda walizozinasa na zingine zilikuwa teyari zikokwenye chama tawala ambapo mahakama iliamuru kiongozi wao Richard Nixson azitoekama ushahidi , alikataa kwani kwa kufanya hivyo ni kama unapeleka kidhibitiPolisi. Kwa sheria za Marekani alibidi Rais Nixson ajihudhuru ili ashitakiwemahakamani kwa kashifa hiyo. Rais Nixson alijihudhuru kwa kashfa hiyo ya Watergatemwaka 74 na Makamo wake bwana Gerad Ford aliendeleza urais wake na akamsameherais wake asishitakiwe mahakamani.
Katika sakata hilo mchunguzi mmoja alikuwa anaitwa RobartCox alipoteza maisha dola ilimumaliza maana alikuwa anajifanya kihelehele sananinaposema dola ninamaana usalama wa taifa kwa hapa kwetu.
Hii ni kwa kifupi sana.
Jee! Haya mambo kwetu yapo? Hebu toa mfano hai, na jee! Ninikifanyike ? Ili kuzuia?