Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #161
Hahahah duuh......visichana vyoote mtaa mzima unakuta vimebaba watoto.Hili janga ni la nchi mzima
Huku Katavi kupo kama huko au zaidi
ndomaana mwendazake alitaka kufyeka hizi NGOs zote yani kama mungu angempa mwaka mwingine angeshazifuta zote😄ila yule mwamba aisee.🙌🙌Lengo la NGOs za UKIMWI ni like ambalo halijaandikwa, yaani ni sehemu ya kuboresha uchumi na maisha ya watu wa hizo NGOs kuliko wahanga.
A missed targetndomaana mwendazqke alitaka kufyeka hizi NGOs zote yani kama mungu angempa mwaka mwingine angeshazifuta zote😄ila yule mwamba aisee.
Single Maza unguja Na Pemba ndio wapo sikataiSiku nyingine nitakuja na mada ya Unguja na Pemba.
Ndugu msomaji you will be shocked, kule kunq Single mazas wengi kuliko sehemu yotote duniani
Eti jamani!! Hiyo haikubaliki🤣kazi kutupangia matumizi ya vizazi vyetu😂
Sawa tuta i-frame kwa nanna nyingine.Single Maza unguja Na Pemba ndio wapo sikatai
Lakini hao wanakuwa wameshapewa talaka
Na hapa Mada inasema kuzaa ovyo tu pasipo kuwa Na ndoa
Maeneo gani? Kule hawazai Mapema bali wanazaa sana.Hujafika kigoma
Ndyo anakuwa nao lakini hali ya maisha ya hii familia ni shida kwakweliSi anawajukuu?
Katika hili mimi binafsi nilimunga mkonondomaana mwendazake alitaka kufyeka hizi NGOs zote yani kama mungu angempa mwaka mwingine angeshazifuta zote😄ila yule mwamba aisee.🙌🙌
Na hao wajukuu nao wanapigwa Mimba juu kwa juu.Ndyo anakuwa nao lakini hali ya maisha ya hii familia ni shida kwakweli
Sawa mkuu basi wataanza kumuiga papa francis kupigwa mitiHuko kusini wanamuiga mtume mhamadi alioa kabinti ka miaka tisa Kwa mujibu wa maandiko Yao wanavyosema.ukichanganya na ukosefu wa elimu ndiyo hupelekea watu wa huko kuzaa wakiwa watoto
Asante 😂Eti jamani!! Hiyo haikubaliki🤣
familia kama hizi asipotokea mmoja anayejitambua mtaishi ivoivo kiumaskini wa kutupwa kwa vizazi na vizazi hakuna wa kumsaidia mwenzake wote ni chokesti.All in all Familia kama hii inakuwa Maskini sana. Hakuna Maadili.
Watu wanaishi kwa kuuza nyapu
😁😁Sawa mkuu basi wataanza kumuiga papa francis kupigwa miti
Hiyo ID yako ya Mlinzi Mlala fofofo imenichekesha sanafamilia kama hizi asipotokea mmoja anayejitambua mtaishi ivoivo kiumaskini wa kutupwa kwa vizazi na vizazi hakuna wa kumsaidia mwenzake wote ni chokesti.
Tanzania Zaeni Nchi Hii Kubwa Kuna Mapori MengiHili janga ni la nchi mzima
Huku Katavi kupo kama huko au zaidi
Naumia sana navyoona watoto wa kike wanapata shida kutokana na utashi wa jamii na sio mapenzi yaoMkuu hili ni janga la Kitaifa! Kila mahali katika nchi yetu hali ni hiyo hiyo!
Kutokana na mila potofu,umaskini,kukosa elimu watoto wengi wa kike ni Wahanga wa tatizo hilo!