Kitu kinachofanana na hiki ulichokisema wewe nimekisikia pia jana akikisema msomi nguli mwana wa Afrika, Prof. Patrick Lumumba wa Kenya. Alisema kwamba possibly kunahitajika utafiti kuweza kujua kwa nini lockdown inakuwa na maambukizi zaidi. Alisema jana kwenye kipindi cha saa 3 usiku Star Tv