Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kasi ya Wasira CCM imeharibu mipango, malengo na uelekeo wa upinzani kabisa nchini. Imewadhoofisha na kuwapotezea matumani kabisa, kiasi kwamba wamekosa na hawajui la kufanya.
Kwa kipindi kifupi mno, na ni katika maeneo machache sana nchini, ziara za makamu mwenyekiti wa CCM taifa bara, zimewakoseha wapinzani agenda na hoja za kuwafanya wananchi wawasikilize bali wananchi hao wanapuuzwa tu.
Maelezo, uchambuzi na ufafanuzi wa kina wa mzee waasira kwa wanainchi, dhidi ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa mwaka 2020-2025, iliyotekelezwa kikamilifu kwa zaidi ya 98% chini ya uongozi madhubuti sana wa Dr.Samia Suluhu Hassan, imezidisha hamasa ya wananchi kuikubali CCM na kumuamini zaidi rais na kipenzi cha waTanzania wote Dr Samia Suluhu Hassan.
Hali hiyo imewakoseha wapinzani agenda na hoja za kuwashawishi wananchi kuwasikiliza na badala yake wamepoteza uelekeo na kujaribu kutishia kugomea mambo ya kikatiba kama vile uchaguzi, mambo ambayo pia yanapuuzwa hata na wafuasi wao wa upinzani.
Mzee Wasira ameifanya CCM kuaminika zaidi kwa umma, lakini pia ameisisimua CCM na kuwafanya wagombea uongozi wake mathalani mgombea urasi na mgombea mwenza wake kujulikana zaidi, lakini pia kuaminika zaidi kwa wananchi na waTanzania wote.
Imefikia mahali hata matapeli wa kisiasa wa upinzani ambao ni wapiga mdomo na makelele maarufu, wamefikia hatua ya kukimbia na kutoka nduki, kukwepa kufanya mdahalo na Makamu mwenyekiti huyo mahiri wa CCM, kwa visingizio na sababu zisizo na mashiko kabisa.
Hii inamaanisha wazi kwamba,
ushindi wa kishindo kwa CCM katika uchaguzi mkuu wa Oct 2025, ni wa wazi na ni Lazima.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.