Kasi ya mtandao wa Zantel

Kasi ya mtandao wa Zantel

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
651
Habari za muda huu

Naomba kujuzwa kwa anaefahamu kasi ya Internet ya Zantel. Je, iko vizuri kwa maeneo yote au inategemea na eneo ulilopo?
 
..je iko vizuri kwa maeneo yote
Hakuna mtandao ambao uko vizuri maeneo yote.

Ndio sababu wengine tunalazimika kumiliki laini zaidi ya moja, ili ile yenye kasi basi ndio unatumia kwa wakati huo hilo eneo ulilipo.

Ni jukumu lako kufanya tafiti Je ni mtandao upi una kasi zaidi mahala ulipo.
 
Asante
 
micheweni Pemba au
1618480791593.png
 
Back
Top Bottom