Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 651
Hakuna mtandao ambao uko vizuri maeneo yote...je iko vizuri kwa maeneo yote
AsanteHakuna mtandao ambao uko vizuri maeneo yote.
Ndio sababu wengine tunalazimika kumiliki laini zaidi ya moja, ili ile yenye kasi basi ndio unatumia kwa wakati huo hilo eneo ulilipo.
Ni jukumu lako kufanya tafiti Je ni mtandao upi una kasi zaidi mahala ulipo.
mimi nipo Kigogo Dar ,ipo swafi kabisaHabari za muda huu
Naomba kujuzwa kwa anaefahamu kasi ya Internet ya Zantel......je iko vizuri kwa maeneo yote au inategemea na eneo ulilopo ?
Mimi nipo Micheweni , Ina kasi balaa, kuliko mitandao mingine.mimi nipo Kigogo Dar ,ipo swafi kabisa
micheweni Pemba auMimi nipo Micheweni , Ina kasi balaa, kuliko mitandao mingine.
micheweni Pemba au
nakusoma mkuu,nimetoka huko juzi tu nilikuwa Wete hapo
Asantemimi nipo Kigogo Dar ,ipo swafi kabisa
AsanteMimi nipo Micheweni , Ina kasi balaa, kuliko mitandao mingine.
Wazee wa tumbe tusomane hapanakusoma mkuu,nimetoka huko juzi tu nilikuwa Wete hapo
haha kumbe mpo weng humuWazee wa tumbe tusomane hapa