Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Sasa kama mkumbwa wako kakuwekea spidi gavana utafanyaje, uliza mbona nae makamu hatumuoni kukata tepe?Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka.
Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo.
Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku waziri mkuu akikolozea moto. Kwa ujumla waliweka mambo sawa, kuanzia tumbuatumbua, dhibiti rushwa na hata dhibiti uzembe.
Nini kimemsibu sasa hivi mpaka amepunguza kasi aliyokuwa nayo?
Sasa kama mkubwa wako kakuwekea spidi gavana utafanyaje, uliza mbona nae makamu hatumuoni kukata tepe?
Thread 'Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?' Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka.
Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo.
Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku waziri mkuu akikolozea moto. Kwa ujumla waliweka mambo sawa, kuanzia tumbuatumbua, dhibiti rushwa na hata dhibiti uzembe.
Nini kimemsibu sasa hivi mpaka amepunguza kasi aliyokuwa nayo?
Ana vijakazi wakutosha. Boss hafanyi kazi wewe.Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka.
Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo.
Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku waziri mkuu akikolozea moto. Kwa ujumla waliweka mambo sawa, kuanzia tumbuatumbua, dhibiti rushwa na hata dhibiti uzembe.
Nini kimemsibu sasa hivi mpaka amepunguza kasi aliyokuwa nayo?
Kushawishiwa Kwake Kipumbavu na Sukuma Gang na Kuwaamini akidhani watambeba ndani ya CCM kwa Urais wa 2025 ndiko Kumemponza kwa Bi. Hangaya.Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka.
Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo.
Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku waziri mkuu akikolozea moto. Kwa ujumla waliweka mambo sawa, kuanzia tumbuatumbua, dhibiti rushwa na hata dhibiti uzembe.
Nini kimemsibu sasa hivi mpaka amepunguza kasi aliyokuwa nayo?
Tena walewale wanaosema kuwa yeye Rais ndio wanakuja tena na kutuambia hana kasi na amefungwa spidi gavana ahaaaa ahaaaaWenzako wanasema yeye sasa hivi ndio Rais wewe unasema amepunguza kasi! Nchi ina vituko sana.