KERO Kasino Kwa Msango Gulani, Kimara Suka tuna ukosefu wa maji kwa karibu miezi miwili

KERO Kasino Kwa Msango Gulani, Kimara Suka tuna ukosefu wa maji kwa karibu miezi miwili

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Rcrusso Jr

Senior Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
184
Reaction score
421
Nikiwa kama mwananchi eneo hilo (Kasino Kwa Msango Gulani) Tafadhali tunaomba Serikali iingilie kati mana viongozi wanashindwa tusaidia hili, tuna ukosefu wa maji kwa miezi miwili kasoro sasa na ubaya ni kwamba bill zinakuja ila maji hayafiki tupo kama jangwani sasa.

Hakuna yoyote anaeongelea.

Msaada please. Tunateseka mno. DAWASA na serikali kwa ujumla au mkuu wa mkoa aingilie.
 
Moods
Nikiwa kama mwananchi eneo hilo (kasino kwa msango gulani) , Tafadhali tunaomba Serikali iingilie kati mana viongozi wanashindwa tusaidia hili , tuna ukosefu wa maji kwa miezi miwili kasoro sasa na ubaya ni kwamba bill zinakuja ila maji hayafiki tupo kama jangwani sasa.. hakuna yoyote anaeongelea.. msaada please..tunateseka mno.. @dawasco na serikali kwa ujumla au mkuu wa mkoa aingilie..

Mkoa gani huo...
Dar es salaam, kimara suka...
 
Moods naomba mniamdikie ni kasino sio kasini... Eneo ni kimara suka gulani (kasino kwa msango)
 
Hivi kwa adha hiyo bado mnachagua CCM? Kumbe matatizo mnayataka wenyewe
 
Back
Top Bottom