Nikiwa kama mwananchi eneo hilo (kasino kwa msango gulani) , Tafadhali tunaomba Serikali iingilie kati mana viongozi wanashindwa tusaidia hili , tuna ukosefu wa maji kwa miezi miwili kasoro sasa na ubaya ni kwamba bill zinakuja ila maji hayafiki tupo kama jangwani sasa.. hakuna yoyote anaeongelea.. msaada please..tunateseka mno.. @dawasco na serikali kwa ujumla au mkuu wa mkoa aingilie..