Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Una uhakika hapo kwenye ushoga mkuu 🤔 ??Tafiti zinasema huko ndiko kwenye idadi kubwa ya vijana mashoga.
Tupunguzeni ukabila kwa mambo ya kipuuzi. Hakuna mkoa uliotoa upinzani mkali kama Dar/Mwanza/Mbeya kisha ndio wanafuata hao wengine.
Pombe hii hii beerKabisa kaka kama Kilimanjaro imeoza kabisa ndugu zetu wachaga wengi mapunga kwa kuweka pesa mbele ukimwekea pombe na kibunda unaenda kufumua donati tena men huyo nipo na jamaa zangu wawili saiv nishawatenga kabisa washaleft group la kiumeni
Waliandama wapi ?? Ushoga upo kila mahala aseehHahaa.....Huko si ndio wake zenu waliandamana wanaume hamna nguvu za kiume,Huko si ndio kuna wale vijana wa hovyo wanao jiita wadudu wanywa pombe kali ,Huko si ndio kuna wagokolewa taka na mpka wanaolewa nje ya nchi ..hebu tupumzishe huko ndo masela mavi kibao wanatoka hakuna wajanja.
Mbaya zaidi sio watamu kabisa mkuuMalaya wa north wanaouza nyapu wakija mbeya wanaongoza kushtak kwenye dawati la ustawi wa jamii
Mwambie huyo boya anadhani ndo kama mkoa wao wa kibaguzi yaani kama sio mmeru,mchaga,mmasai kutoboa sahau Mbeya kuna makabila zaidi ya 10 na zaidi ambayo yamejikita kwenye kuleta maendeleo ya mkoaMbeya sio ya wanyakyusa mkuu acha vitu vya kuambiwa...
Kwao kyela,tukuyu wakija town wanakuja shopping