Pre GE2025 Kaskazini Pemba: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Pre GE2025 Kaskazini Pemba: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760

1. Salim Mussa Omar - MBUNGE WA GANDO

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 3390

Historia ya Elimu

Diploma University of Dar-es-Salaam Computing Center 2011 - 2013
Certificate University of Dar-es-salaam Compuntig Center 2009 - 2010
Gando Secondary School: 2002 - 2006
Gando Primary School: 1995 - 2001

Historia ya Ajira

Mkurugenzi kampuni ya Pergamon: 2012 - 2020

Uzoefu wa Kisiasa

Bunge la Tanzania: Mbunge: 2020 - 2025

2. Hamad Hassan Chande - MBUNGE WA KOJANI

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 3363

Historia Ya Elimu

- Shahada ya Uzamili (Energy Environmental Technology and Economics), City University, London, UK - 2004 - 2005
- Shahada ya Kwanza (Electrical and Electronic Engineering), University of Northumbria, UK, Stamford College (Malaysia) 1997 - 2000
  • Diploma (Electrical and Electronic), Stamford College, Malaysia - 1996 - 1997
  • Cheti (Automotive Engineering), Karume Technical College - 1991 - 1995
  • Lumumba Secondary School - CSEE: 1989 - 1990
  • Hamamni Secondary School: 1987 - 1989
  • Tumekuja Primary School, CPEE: 1979 - 1986

Historia ya Ajira

  • Mjumbe wa Kamati ya National Nuclear Technology Policy: 2006 - 2009
  • Mjumbe wa Standing Committee of East African Power System Master Plan: 2005 - 2009
  • Mjumbe wa Project for Sustainable Energy Development (Sub-Saharan Africa): 2003 - 2009
  • Mratibu wa Mradi wa Project for AFRA Member State: 2006 - 2009
  • Mjumbe wa Bodi ya National Development Cooperation: 2015
  • Mjumbe wa Bodi ya BP/Puma Energy Tanzania Limited: 2010 - 2014
  • Mhandisi Mtendaji wa Ministry of Energy and Minerals: 2003 - 2009

3. Iddi Khatib Hamad - MBUNGE WA MICHEWENI
Chama: ACT Wazalendo
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 1603

Historia ya Elimu

  • VETA, Dar es Salaam
  • Cheti cha Udereva: 2014
  • Cheti cha Ufundi Mekanika: 2008 - 2009
  • Cheti cha Welding: 2007
  • Mafunzo Mafupi ya Huduma za Afya Wizara ya Afya Zanzibar - 2013
- Kiuyu Primary and Secondary School : CSEE: 1987 - 1989
- Kiuyu Primary School: 1978 - 1986

Historia ya Ajira

  1. Mvuvi (Binafsi): 1989 - 1991
  2. Mwanzilishi wa ZANEA Company, Pemba: 1992 - 1996
  3. Mkurugenzi wa Muzdalifa Islamic Charitable Organisation: 1997 - 2000
  4. Mfanyakazi wa Hospitali ya Micheweni Cottage - Ministry of Health: 1999 - 2006
  5. Dereva wa DHMT Micheweni Mkapa Foundation - Ministry of Health: 2006 - 2007
  6. Dereva wa DHMT Micheweni - Ministry of Health: 2007 - 2010
  7. Mtaalamu wa Ufundi wa Ministry of Health: 2011 - 2013
  8. Dereva wa National ID Authority (NIDA), Kaskazini Pemba: 2014 - 2017
  9. Dereva wa Ministry of Health - ChakeChake Hospital, Pemba: 2017, 2018
  10. Dereva wa Ministry of Home Affairs - Immigration: 2018 - 2020

Uzoefu wa Kisiasa

  • Chama cha Mapinduzi (CCM)
  • Katibu wa Vijana wa Micheweni: 1992 - 1997
  • Katibu wa Kikundi cha Madereva wa Pikipiki Kaskazini Pemba: 2000
  • Mjumbe wa Kundi la Uhamasishaji Tawi na Jimbo: 1995
  • Mjumbe wa Tawi la Kiuyu Maziwang'ombe: 1992
  • Mjumbe wa Vijana wa Kiuyu Maziwang'ombe: 1990

Bunge la Tanzania
  • Mbunge: 2020 - Sasa
  • Mjumbe wa Kamati ya Ulinzi, Mambo ya Nje na Usalama: 2021 - 2023

4. Khalifa Mohammed Issa - MBUNGE WA MTAMBWE

Chama: ACT Wazalendo
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 2703

Historia ya Elimu

Islamic College - Cheti cha Mafunzo ya Ualimu, 1980 - 1982
Islamic College - Cheti cha Lugha ya Kiarabu, 1979
Piki Secondary School - CSEE, 1978
Piki Primary School - CPEE, 1969 - 1974

Historia ya Ajira

Ministry of Education - Mwalimu, 1982 - 1984
The Southern Esso S. Station - Meneja wa Operesheni, 1985 - 1994

Uzoefu wa Kisiasa

Civic United Front - Mwenyekiti wa Wilaya ya Wete, 2007 - 2014
Civic United Front - Mwenyekiti wa Wilaya ya Wete, 2014
Civic United Front - Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Taifa, 1994, 1999, 2003 - 2007, 2014

Parliament of Tanzania - Mbunge, 2000 - 2005
Parliament of Tanzania - Mbunge, 2015 - 2020
Community Development Committee of the Parliament - Mjumbe, 2003 - 2004

5. Maryam Omar Said - MBUNGE WA PANDANI

Chama: CUF
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 2370

Historia ya Elimu

Ole Secondary School - CSEE, 2008 - 2010
Ole Primary School - CPEE, 2001 - 2007

6. Amour Khamis Mbaruk - MBUNGE WA TUMBE

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 1428

Historia ya Elimu

Nkurumah TTC - Cheti, 1992 - 1994
Open University of Tanzania - Shahada ya Uzamili, 2020 - 2022
University College of Education - Shahada, 2004 - 2005
Zanzibar Muslims Academy - Diploma, 2000 - 2002
Civil Servants College-Zanzibar - Cheti, 1996
Shumba Vyamboni Primary School - CSEE, 1989 - 1990
Fidel Castro Secondary School - ACSEE, 1991

Historia ya Ajira

Tumbe Primary School - CPEE, 1980 - 1988
Konde na Tumbe Secondary School - Mwalimu, 1998 - 2020
TC Wingwi - Mwalimu: 2014 - 2020

Uzoefu wa Kisiasa

Chama cha Mapinduzi - Mjumbe wa NEC, 2012 - 2017
Chama cha Mapinduzi - Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM, 2012 - 2017
Chama cha Mapinduzi - Mjumbe wa Baraza Kuu la CCM, 2012 - 2017
Chama cha Mapinduzi - Katibu wa Siasa na Uenezi, 2002 - 2007
Parliament of Tanzania - Mbunge, 2020 - hadi sasa

7. Omar Ali Omar - MBUNGE WA WETE

Chama: ACT Wazalendo
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 2868

Historia ya Elimu

  • Dar es Salaam College of Hotel and Business Study, Tanzania - Diploma katika Usimamizi wa Biashara: 2014 - 2015
  • JKU - Pemba - Cheti, 1985
  • Kampala University - Cheti katika Usimamizi wa Biashara: 2009 - 2011
  • Uwondwe Primary School - CPEE: 1977 - 1983

Historia ya Ajira

UN Clubs Tanzania Networks - Afisa Ufuatiliaji na Tathmini: 2012 - 2013
Delloite - Tanzania - Ufuatiliaji na Tathmini kwa Elimu ya Upigaji Kura Pemba: 2010
Foundation for Civil Society - Kushiriki katika kuanzisha mabaraza ya vijana Zanzibar: 2014 - 2015

Uzoefu wa Kisiasa

ACT - Wazalendo - Logistics Secretary: 2019 - 2025
Parliament of Tanzania - Mbunge: 2020 - 2025

8. Omar Issa Kombo - MBUNGE WA WINGWI

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 1788

Historia ya Elimu

Pemba Islamic College - ACSEE, 2012 - 2014
Micheweni Secondary School - CSEE, 2007 - 2010
Micheweni Primary School - CPEE, 2000 - 2006

Uzoefu wa Kisiasa

Administration and Local Governments Affairs Committee - Mjumbe: 2020 - 2025
Chama cha Mapinduzi - Mshauri wa Siasa - Wilaya ya Micheweni: 2016 - 2020
Chama cha Mapinduzi - Mwenyekiti wa Baraza la Wilaya ya Micheweni: 2016 - 2020
Chama cha Mapinduzi - Mjumbe wa Kamati ya Siasa - Wilaya ya Micheweni: 2016 - 2020

Parliament of Tanzania - Mbunge: 2020 - 2025

Kupata CV za wabunge zote Tanzania ingia hapa: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
 
Back
Top Bottom