Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
kujua wachafuzi wa mazingiraHizo takwimu zinasaidia nini???
Zinawasaidi wakulima kujua wapi mbolea (samadi) inapatikana wapi kiurahisi.Hizo takwimu zinasaidia nini???
Zinaweka bayana desturi za jamii za Kitanzania, hata kunapokuwa na projects za kuchimba vyoo au kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa vyoo watafahamu ni maeneo yapi panastahili kuwekewa umuhimu zaidi.Hizo takwimu zinasaidia nini???