Pre GE2025 Kaskazini Unguja: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Pre GE2025 Kaskazini Unguja: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760

1. Mbarouk Juma Khatib - MBUNGE WA BUMBWINI

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 11240

Historia ya Elimu

Makoba Primary School: CPEE, 1975 - 1982

Uzoefu wa Kisiasa

Chama Cha Mapinduzi: Mjumbe wa Mkutano Mkuu Wilaya ya Kaskazini B Unguja: 2016 - Hadi sasa

Parliament of Tanzania: Mbunge, 2020 - Hadi sasa

2. Mbarouk Juma Khatib - MBUNGE WA BUMBWINI

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 8198

Historia ya Elimu

  • Pwani Mchangani Primary School: CPEE: 1997 - 2005
  • Uroa Secondary School: CSEE: 2006 - 2009
  • InfoTech Computer Center - Zanzibar: Cheti: 2010 - 2011
  • Institute of Continuing and Professional Studies (ICPS): Cheti, 2011 - 2012
  • Institute of Continuing and Professional Studies (ICPS): Diploma, 2014 - 2015
  • Open University: 2017 - 2021

Uzoefu wa Kisiasa

  • Chama Cha Mapinduzi: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM - Kaskazini Unguja, 2017 - 2022
  • Chama Cha Mapinduzi: Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, 2017 - 2022
  • Industries, Trade and Environment Committee: Mjumbe, 2021 - 2023
Bunge la Tanzania: Mbunge, 2020 - 2025

3. Soud Mohammed Jumah - MBUNGE WA DONGE

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 8232

Historia ya Elimu

Kwamtipura Primary School: CPEE, 1973 - 1980
Haile-Selasie Secondary School: ACSEE, 1985 - 1986
Donge Secondary School: CSEE, 1981 - 1984
Forestry Training Institute, Olmotonyi: Certificate, 1988 - 1990
Forestry Training Institute, Olmotonyi: Diploma, 1992 - 1994
Sokoine University: Degree, 1995 - 1999
Ehime University, Japan: Masters, 2004 - 2006

Historia ya Ajira

  • Wizara ya Kilimo (Misitu): Mkuu wa Rasilimali Asili, Mkuu wa Usimamizi wa Misitu ya Jamii, Mratibu wa Mradi wa Menai, 1990 - 2008
  • Care International (Tanzania): Msaidizi wa Meneja wa Programu, 2009 - 2013
  • Programu ya Maendeleo ya Umoja wa Mataifa (UNDP): Mratibu - Mabadiliko ya Tabianchi, 2009 - 2012
  • Wizara ya Kilimo: Mkurugenzi - Idara ya Misitu, 2017 - 2020

Uzoefu wa Kisiasa

Ideology College - Tunguu: Trainer, 2015 - 2020
Parliament of Tanzania: Member, 2020 - 2025
Land, Natural Resources and Tourism Committee: Member, 2020 - 2023

4. Yahya Ali Khamis - MBUNGE WA KIJINI

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 5848

Historia ya Elimu

Vitongoji Primary School: 1975 - 1982
Vitongoji Secondary School: 1983 - 1985

Historia ya Ajira

Dereva wa Wizara ya Fedha: 1987 - 2001
Mfanyabiashara, 2010 - Hadi sasa

Uzoefu wa Kisiasa

Bunge la Tanzania: Mbunge, 2020 - 2025
Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji: Mjumbe, 2021 - 2023

5. Mwinyi Abdullah Ali - MBUNGE WA MAHONDA

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 8803

Historia ya Elimu

Muhimbili Primary School: CPEE, 1981 - 1986
Upper Tooting Hing School - London: CSEE, 1986 - 1990
Dubai College: ACSEE, 1990 - 1992
University of Wales, Cardiff: LLB, 1993 - 1996
University of Wales, Cardiff: LLM, 1998 - 1999

Historia ya Ajira

Capetown South Africa: Meneja wa Mradi (Usafirishaji), 2002 - 2004
Attorney General of Tanzania: Wakili wa Serikali, 1996 - 1997
BP Tanzania Ltd: Mratibu wa Ugavi na Biashara, 1999 - 2001
BP Southern Africa: Meneja wa Ugavi na Biashara, 2001 - 2002
Mkono & Co. Advocates-Associate: Wakili Mshirika, 2004 - 2007
Envision Consulting Company Ltd: Mkurugenzi Mtendaji, 2012 - Hadi sasa

Uzoefu wa Kisiasa

East Africa Legislative Assembly: Mbunge: 2007 - 2012
Kamati ya Masuala ya Kikanda na Utatuzi wa Migogoro - EALA: Mwenyekiti, 2012 - 2017
Kamati ya Sheria, Kanuni na Haki - EALA: Mwenyekiti, 2007 - 2012
Bodi ya Wakurugenzi, Sahara Ventures and Sahara Parks Company: Mjumbe
Bodi ya Wakurugenzi - Swala Oil and Gas Company: Mwenyekiti
Bunge la Tanzania: Mbunge, 2020 - 2025
Tanganyika Law Society: Mjumbe,

6. Khamis Ali Vuai - MBUNGE WA MKWAJUNI

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 8933

Historia ya Elimu

Mkwajuni Primary School: CPEE, 1971 - 1977
Mkwajuni Secondary School: CSEE, 1989 - 1989
Mkwajuni Secondary School: - 1978 - 1981
The Institute of Public Administration, Zanzibar: Certificate 2010 - 2010

Historia ya Ajira

  • Ministry of State, President's Office, Regional Administration and Special Department: Katibu wa Halmashauri ya Wilaya, 1996 - 2014
  • Ministry of State, President's Office, Regional Administration and Special Department: Katibu wa Serikali ya Mkoa, 1988 - 1995
  • Ministry of State, President's Office, Regional Administration and Special Department: Afisa Utawala na Rasilimali Watu wa Halmashauri ya Wilaya, 2014 - 2015

Uzoefu wa Kisiasa

Chama Cha Mapinduzi: Katibu wa Tawi CCM Vijana: 1982 - 1987
Chama Cha Mapinduzi: Kiongozi wa Kundi la Vitengo Kumi: 1987 - 1992
Chama Cha Mapinduzi: Mjumbe wa Baraza la Kata na Kamati ya Kisiasa: 2012 - 2012
Bunge la Tanzania: Mbunge: 2015- 2025

7. Simai Hassan Sadiki - MBUNGE WA NUNGWI

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 7376

Elimu Yake

Nungwi Primary School: CPEE, 1995 - 2004
Tumekuja Secondary School: CSEE, 2005 - 2006
Tumekuja Secondary School: ACSEE, 2007 - 2009
Zanzibar University: Bachelor of Laws and Shariah, 2009 - 2013
Zanzibar University: Masters of Comparative Law, 2013 - 2015

Historia ya Ajira

Zanzibar Youth Council: Mwenyekiti: 2009 - 2010
Mahenyo Law Firm: Mkurugenzi Mtendaji: 2019 - 2020

Uzoefu wa Kisiasa

Kamati ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, Baraza la Vijana Zanzibar: Mwenyekiti: 2009 - 2009
Bunge la Tanzania: Mbunge, 2020 - 2025

8. Juma Othman Hija - MBUNGE WA TUMBATU

Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 9349

Education History

Potoa Primary School: CPEE, 1965 - 1974
Lumumba Secondary School: CSEE, 1975 - 1986
Kidatu Morogoro: Diploma in Electrical Engineering, 1976 - 1982
Boure Mouth-England: Diploma Certificate, 2007 - 2008
Boure Mouth-England: Advanced Diploma Certificate, 2005 - 2007
Kampala International University (KIU): Masters of Business Administration, 2010 - 2013

Historia ya Ajira

ZECO: Msimamizi wa Mradi, 1986 - 2015
ZECO: Mkuu wa Idara, 1976 - 1986
ZECO: Msimamizi wa Mradi wa Umeme wa Tanga-Pemba, 1986 - 2016
ZECO: Msimamizi wa Mradi wa Umeme wa Kisiwa cha Tumbatu, 1986 - 2016

Uzoefu wa Kisiasa

CCM Political Committee, Kaskazini A District: Mjumbe, 2016 - 2020
Bunge la Tanzania: Mbunge, 2015 - 2025
CCM Political Committee: Mjumbe, 1983 - 1983
CCM Political Committee Tumbatu: Mjumbe, 2015 - 2020

Kupata CV za wabunge zote Tanzania ingia hapa: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
 
Back
Top Bottom