Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. Amos Makalla ni shahidi mwaminifu kwenye hilo.
Kaskazini mwanzo mzuri. Hakuna kurudi nyuma. Na mkikaza inavyopaswa, pana watu vibarua vitaota nyasi.
Kwamba ukaguzi wa magari au inatakiwa pesa kwa mtindo ule ule wa kariakoo? Kwani Kariakoo walikitanzua je kitendawili hiki?
Wasafirishaji mnayo hiari ya kuzikataa au kuzikubali tozo hizi mpya kama walivyoridhia wale mabingwa wa katiba mpya walivyoridhia kuipewa, ma CCM yatakapojisikia.
Kaskazini wagomea rasimu kanuni mpya Latra
Hawa huanza hivi hivi mabasi ukaguzi 90,000/- mara mbili kwa mwaka. Kina yakhe wakikenua Kwa maanq hayawahusu.
Ghafla ukaguzi ni Kwa kila gari 50,000/- mara 2 kwa mwaka. Hapo sasa kilio na kusaga meno.
Tuungane kukataa tozo.
Inawezekana!
Shikamoo Kariakoo.