BabaKasheshe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 211
- 45
Salama wana JF. Ninahitaji kufuatilia jambo kwa kampuni inayo shughulika migodini kahama inaitwa Kasko, tafadhari mwenye mawasiliano ya aina yoyote kwa kampuni hii niasaidie. Natanguliza shukurani...