B BabaKasheshe JF-Expert Member Joined Nov 7, 2012 Posts 211 Reaction score 45 Aug 7, 2013 #1 Salama wana JF. Ninahitaji kufuatilia jambo kwa kampuni inayo shughulika migodini kahama inaitwa Kasko, tafadhari mwenye mawasiliano ya aina yoyote kwa kampuni hii niasaidie. Natanguliza shukurani...
Salama wana JF. Ninahitaji kufuatilia jambo kwa kampuni inayo shughulika migodini kahama inaitwa Kasko, tafadhari mwenye mawasiliano ya aina yoyote kwa kampuni hii niasaidie. Natanguliza shukurani...
Bintiwangara JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 551 Reaction score 287 Aug 7, 2013 #2 jambo gani weka bayana, watu wakusidie