Kasoro ya wadada wazuri ni udung'a-embe

embu nielimisheni kidogo mnaongelea uzuri upi maana macho yetu nayo hayafanani tunapotazama vitu sasa sielewi kipi kinazungumzwa hapa maana kizuri kwako kwa mwingine kibaya
 
Mtoa mada nimekuelewa vizuri, inaelekea umejifunza mengi katika mapito yako.
 
Uongo mtupu! Samaki mmoja akioza hawaozi wote. Mbona mimi siko hivyo???? Au wengine warembo wazuri ninaowafahamu wengi tu ni wanawake wanaojiheshimu? Kwenye hizo kasoro ulizotaja mbona kuna kila sampuli ya wanawake, wembamba, wanene, wafupi, warefu, warembo, wazuri, vipusa, wa kawaida, wenye sura za kiume lakini wanawake, wenye miguu miembamba, minene, n.k. Acheni ku-generalise habari na kutupaka ma...V *i visingizio kibao. Ukipigwa kibuti na mdada mrembo sio kwamba wote wana tabia mbaya. Niko kwenye kundi la hao wadada na sina tabia hizo mnazozitaja. Hizi ni SIZITAKI MBICHI HIZI style. Ghhrrrrrr! :car:
 
Aaaaaa? Acha kujitetea kihivo mbona wengi 2 wanafanya hayo na niwazuri kupita maelezo tatizo renu mnapenda pesa 2 ndio ki2 kinacho waponza?napia mambo ya kuiga yanawaponza acheni hizo tabia nyinyi wadada wazuri
 
Mzuri yupo na urembo ni asili ya m2 kutoka moyoni mwake ila2 madada wazuri hampo sawa mnapenda sana pesa na mkiona 2 kizuri nataka mkirukie acheni hizo mtunze uzuri wenu msiwf madada poa?????jamani
 
Mzuri yupo na urembo ni asili ya m2 kutoka moyoni mwake ila2 madada wazuri hampo sawa mnapenda sana pesa na mkiona 2 kizuri nataka mkirukie acheni hizo mtunze uzuri wenu msiwf madada poa?????jamani
 

Whether or not ulisoma messages zake, lakini sidhani kama ni vizuri ku-make assumptions that anatembea na hao waliomtumia hizo messages. Inawezekana labda wanamtongoza, nk. Pia kuitwa darling, mpenzi, sweatheart, love, etc haina maana kuwa kuna uhusiano wa mapenzi. Avoid making assumptions.
 
Naona wakuu muwasamehe wadada wazuri. Just for a note mie nimeoa hao mnaosema kuwa wazuri (najua shape na sura na rangi ndio mnavyozitazama). Ila navyofahamu mie kwa experience yangu nilisikia mengi kabla sijaoa mpaka ilifikia kiwango nikaona pengine ni busara kuoa mwanamke mbaya kuliko huyo. Ila nashukuru mungu sikufanya hivyo nikaoa huyo huyo mzuri na tuna watoto na mmungu alivyompendelea mke wangu bado uzuri na shape yake iko pale pale kwa ufupi hazeeki. Sasa waungawana sio kila wanawake wazuri ni wabaya na vicheche kwamaneno ya kisikuhizi. Chunguzeni kwanza wakuu. Wengi wao wanapigwa vita na mashoga zao na huzushiwa mengi yasiyo na ukweli kwasababu tu ya wivu wa wanawake na wanaume. JIHADHARINI MSIPENDE KUSIKILIZA YA WATU!!!!
 
Duh ina maana wabaya tu ndio wenye tabia nzuri? hapana aisee
 
Pole sana kwakujumuishwa nadhani Mtoa Mada alisahau aka generalise.Ni kweli Tabia zinatofautiana na vitu vinavyo influence Mtu kuwa fulani ni pamoja na Vitu vinavyotokana na Kurithi(inheritance) pamoja na Mazingira.So ukichambua aspect ya Mazingira utakutana na mambo mengi sana kwahiyo sio vyema kufanya judgement moja kwa moja nivyema kufanya uchunguzi kwanza.Digna keep on being Good lady/Woman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…