Kasoro zilizomo ktk kamati za uchungzi za Richmond, ESCROW .n.k

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
Kwa miaka miaka mingi hapa Tanzania unapotokea ubadhirifu na ufisadi mkubwa ambao unapowahusisha vigogo wa nchi hii huundwa kamati au tume kuchunguza.

Kinachotokea tume au kamati hizo zikigundua kua wahusika wakubwa wa ufisadi huo huwa ni vigogo wakubwa kabisa wa nchi hii.Hufanya kosa la kujaribu kuficha ufisadi au uzembe wa mkuu.


Hili ndilo kosa ambalo hua linalofanyika na ambalo leo hii ndio linasumbu ni tume kwa makusudi,kuelekezwa,kutishwaau kuogopa tu wao wenyewe (tume) ni kujaribu luficha uhusika wa ufisadi wa viongozi wakubwa kabisa wa nchi.

Hali hii ndio huwa inaleta mivutano kama hii ya leo ya ESCROW na hata RICHMOND.Kwa sababu wadogo huwa hawakubali kusukumiwa soo peke yao.

Ndio maana leo unakuta Waziri au AG n.k anajiapiza kutokujiuzulu kwa sababu anaona MKUU anajua sakata lote mbona yeye hajatajwa popote ktk ripoti?

Hali hii ndio ilivyo kwa PAC na itamtesa sana ZITTO na kamati yake kutokutaja majina ya wakuu moja kwa moja na ushiriki wao katika ESCROW.


Soma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…