Kaspersky vs Bitdefender

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,615
Reaction score
545
Wakuu salama? hebu nijuzeni kati Kaspersky na Bitdefender ipi nzuri?
 
Btdefender ilikuwa poa zamani lakini kwa sasa siidhamini tena. Kaspersky nzuri for protection ila inaweza kufanya computer slow kama sio powerful enough.
 
Review hii inampa ushindi Bitdefender Kaspersky Vs BitDefender

Kwenye revieww hii ya yahoo best answers karpesky anatoka kidedea Bitdefender Total security vs Kaspersky Internet Security? - Yahoo! Answers

Kwa kumalizia

Binafsi sijawai kutimia yeyote katika hizo mbili but kwa review mbali mbali online mshindi hapo ni bitdefender but muamuzi wa mwisho ni wewe.
 
Bitdefender ni nzuri 2010 kuliko 2011 ina-slowdown a pc, lakini Kaspersky ni nzuri ukiwa upo Network lakini kama unatumia kama stand alone sio nzuri kuliko Bitdefender. I prefer Bitdefender than Kaspersky katika kuprotect pc agaist virus kuliko Kaspersky ime-base sana kwenye Network
 
nimetumia sana Kaspersky lakini nimeanza kuichukia trojon inasumbua nsana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…