Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

Kwa sababu tume ya uchaguzi imedhoofishwa sana ama ?
 
Majiliwa mwenyewe hana muda mrefu katika uwaziri mkuu, hivyo nafasi inaangukia kwa Makamba ukweli mchungu ila lolote linaweza tokea akachukua Hussein Mwinyi kuhusu mpango hapana haiwezekani.
 
Majaliwa namkubali sana,
Yuko vzr katika kubana matumizi na value for money, Changamoto Yake ni kama magufuli, deplomasia ni zero,
wazungu watamsumbua, Ila wabongo watamuenjoy sana
 
Sasa Anaona Yote Hasemi Akiwa Rais Hakuna Jiipya
 
Huyo Mabeyo atakuwa hajastaafu tu mpaka huo mwaka?

Au umetumia Mabeyo kama kueleza wadhifa wa CDF?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kivipi hana sifa za kugombea bara?
 
Naapa kwa imano yangu hii Nchi haiwezi kupata maendeleo katu zaidi ya geresha tu...
Kama akili za wanaotuongoza zipo hivi ...kwamba uchaguzi umeisha juzi asubuhi yake CCM inawaza uchaguzi mwingine laaana hii
 
Sijaona mbadala wa Samia huko ccm hadi sasa
 
Hana lolote huyu tena ashukuru mama kampa mwanya wa kuonekana vinginevyo ni mzigo mzito Sana .
 
Kuweweseka na kiwewe na kiseyeye.[emoji3][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…