Tumsimamishe mmojawapo urais mwaka huu na tutupilie mbali jiwe.Kwa dhati kabisa napenda kuwapongeza Hawa viongozi wawili kwa utumishi wao uliotukuka.
Hawajawaangusha waliowateuwa waliowafanyia vetting na mwisho kabisa hawajawaangusha wananchi.
At least nyie mnatukosesha sababu ya kuwakosoa na kuikosoa serikali.
Kassim majaliwa anasimamia serikali vizuri sana na mama Samia anamsaidia rais Magufuli vizuri Sana japo rais anaonekana ni mtu mtata sana kufanya nae kazi.
Mungu awabariki kassim majaliwa na mama Samia suluhu.
Hii tabia ni ya kipuuzi, sasa udini umeingiaje hapo.Unataka kusema waislam wako humble sana katika neema za dunia kuliko Wagalatia?